Washindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai' wakabidhiwa zawadi zao
Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Dinah Siame Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo wa Unilever Tanzania, Teresa Kamweru.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda...
Michuzi