ABAJALO YAINGIA FAINALI DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP KWA KISHINDO
Timu ya Abajalo ya Sinza jijini Dar es Salaam imefanikiwa kukata tiketi ya fainali ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 baada ya kuifunga Burudani FC ya Temeke mikoroshini mabao 3-1. Mabao ya Abajalo kwenye mchezo huo yalifungwa na Idd Kulachi ‘Kleberson’ aliyefunga mabao mawili kati ya matatu. Mchezo huo wa nusu fainali ya pili ulipigwa kwenye uwanja Bandari uliopo maeneo ya Tandika Mwembe Yanga. Kwa ushindi huo sasa Abajalo itacheza na Tabata FC kwenye fainali itakayopigwa siku ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Nov
BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP

10 years ago
Michuzi23 Nov
Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP katika uwanja wa Mwembe Yanga,Temeke


10 years ago
Michuzi12 Jul
SPORTS XTRA NDONDO CUP YAZINDULIWA RASMI, ABAJALO, FC KAUZU MUZIKI WAO..OGOPA SANA!

Msimu wa pili wa mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka, Daktari bingwa wa masuala ya Afya ya uzazi na Tiba asilia kutoka kituo cha Foreplan Clinic, kilichopo Bungoni, Ilala, Dar es salaam umezinduliwa rasmi katika uwanja wa Bandari, Tandika, jijini Dar es salaam.
Mechi ya ufunguzi yenye mvuto wa aina yake imepigwa jana ikiwakutanisha mabingwa watetezi, Abajalo FC ya Sinza Dar es...
10 years ago
Michuzi13 Nov
DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP TEMEKE MARKET NA BLACK SIX MECHI YALALA
10 years ago
MichuziWASHINDI WA MASHINDANO YA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP 2014 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO.
11 years ago
Vijimambo
MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA



11 years ago
Michuzi
MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA



11 years ago
GPL
SPORTS EXTRA NDONDO CUP YAPIGWA KALENDA
10 years ago
GPL
FAINALI NDONDO CUP