Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAPOKEA TUZO YA MAONYESHO YA SANAA MUSCAT

Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Oman Balozi Juma Othman akipokea Tunzo ya ushiriki iliyotolewa na Mwakilishi kutoka Manispaa ya Mji wa Muscat ambao ni Waandaaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni. Tanzania imepeleka zaidi ya Watu 40 kuonesha kazi wanazoifanya za sanaa ikiwemo,Uchongaji,uchoraji na ufumaji wa nguo. Kulia ni Kiongozi wa Msafara huo Khadija Battashy na kushoto ni Msaidizi kiongozi Masha Hussein. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman katikati...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya maonyesho -Tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo 2015!

BagamoyofestTamasha la 34 la Sanaa  za Maonyesho na Utamaduni Bagamoyo…

toyota noahSehemu ya umati wa watu wanaojitokeza kushuhudia tamasha hilo…

RATIBA YA TAMASHA – PROGRAM.pdf 

 

10 years ago

Vijimambo

Washiriki wa maonyesho ya kimataifa ya sanaa wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman

Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman. Katikati ni Mkuu wa Msafara wa Watanzania hao Bi Khadija Batashy.Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akitoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya...

 

9 years ago

Michuzi

TUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA

 Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji  wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa  Tuzo  la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea  katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Basata kutoa tuzo tano za sanaa

WASANII WA ZAMANIZAMDA BIWI NA IDDY ABDALLAH, (RCT)

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limepanga kutoa tuzo tano kwa wasanii waliochangia jamii na waliotumia maisha yao yote katika maendeleo ya sanaa kwa ujumla nchini.

Tuzo hizo zitakazotolewa katika maadhimisho ya siku ya msanii yatakayofanyika Desemba 12, katika ukumbi wa Blue Pearl uliopo jijini Dar es Salaam, yatakuwa na kauli mbiu ya ‘Nguvu ya Sanaa’.

Mkurugenzi wa Ukuzaji wa Masoko, Nsao Vivian, alisema lengo la maadhimisho hayo ni kumtambulisha msanii,...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Tunahitaji tuzo za jumla za sanaa

>Katika hali ya kawaida, kwenye maisha yetu ya ya kila siku, binadamu anayehenyeka katika jambo fulani, faraja yake huja baada ya kugundua kwamba jitihada zake zimeonekana dhahiri na kutambulika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania changamkieni maonyesho DITF’

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara kupitia maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) ambayo kwa mwaka huu yatajumuisha makampuni mengi zaidi ya kimataifa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania, Waturuki kushiriki maonyesho Dar

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kushiriki kwenye maonyesho ya bidhaa za sekta mbalimbali kutoka Uturuki yatakayoanza kesho. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Balozi wa Uturuki nchini hapa,...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAALIKA WATANZANIA MAONYESHO YA BIASHARA 2015

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi Mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani