Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PPF YAALIKA WATANZANIA MAONYESHO YA BIASHARA 2015

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi Mmoja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF katika maonyesho ya biashara 2014

 Banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF, lililoko kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam. PPF inashiriki maionyesho ya 38 ya biashara ya mwaka huu 2014 na inawakaribisha wananchi wote kujonea na kupata taarifa ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo  Afisa Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gloria Maboya, (Kulia), akiwapatia taarifa za michango, wanachama wa PPF, waliotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyeshjo ya 38 ya biashara ya kimagtaifa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba

unnamed

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.

unnamed (1)

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏


Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa PPF, Bi Lulu Mengele na Katikati ni Mbaruku.
Mmoja wa Wateja Wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifurahia huduma aliyopewa na Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson wakati mteja...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashar kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam DITF

Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni zaidi ya kimataifa toka nchi yatashiriki.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE, Bibi  Jaqueline Mneney Maleko wakati akizungumzia maandalizi ya Maonyesho ya 38  Kimataifa ya Dar es Salaam,  kwa waandishi wa Habari, ofisi za TANTRADE...

 

11 years ago

Dewji Blog

PPF yaendelea kung’aa kwenye maonyesho ya Sabasaba, Jijini Dar

unnamed

Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.

unnamed (1)

 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho...

 

11 years ago

GPL

MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.
Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.… ...

 

11 years ago

GPL

PPF YAENDELEA KUNG'AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

 Ofisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.
 Ofisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Ofisa Rasirimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

PPF WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI KATIKA MAONYESHO YA 38 YA SABASABA

 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa wateja waliotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Kufanyika katika viwanja hivyo. Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani