PPF YAENDELEA KUNG'AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
 Ofisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.  Ofisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Ofisa Rasirimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
PPF yaendelea kung’aa kwenye maonyesho ya Sabasaba, Jijini Dar
Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho...
11 years ago
MichuziPPF YAENDELEA KUKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA JIJI LA DAR WALIOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0226.jpg)
UN YAZIDI KUNG'AA MAONYESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA MACHAPISHO KWA UMMA
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-auzujmgkbDQ/U7hQyr0u0QI/AAAAAAAFvPQ/EkAwtEDcLZ8/s72-c/unnamed+(59).jpg)
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUNG'ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-auzujmgkbDQ/U7hQyr0u0QI/AAAAAAAFvPQ/EkAwtEDcLZ8/s1600/unnamed+(59).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-aHuLnpcAxs0/U7hQzJPKBCI/AAAAAAAFvO4/pSjzT7j2Bfw/s1600/unnamed+(60).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-OCt4pnD760k/U7hQzkB7V_I/AAAAAAAFvO8/MByDhcTxDCs/s1600/unnamed+(61).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7ECtbYEYrLQ/U7bs3Cw1rPI/AAAAAAAFvB0/2EVpuukRAgs/s72-c/Salma+_Mayingu2.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ECtbYEYrLQ/U7bs3Cw1rPI/AAAAAAAFvB0/2EVpuukRAgs/s1600/Salma+_Mayingu2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--Q0iHBzreOE/U7bs3HfZi0I/AAAAAAAFvB4/MVi6IFeC78A/s1600/mayingu2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mh. Kabaka atembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba na kuvutiwa na Utendaji Kazi wa Mfuko huo
Mwenyekiti wa Bodi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah (Kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya sabasaba.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka akipokelewa na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar Es Salaam.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni...
11 years ago
MichuziWaziri wa Kazi na Ajira atembelea Banda la GEPF kwenye maonyesho ya Sabasaba jijini Dar leo