Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Watanzania changamkieni maonyesho DITF’

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara kupitia maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) ambayo kwa mwaka huu yatajumuisha makampuni mengi zaidi ya kimataifa....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashar kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam DITF

Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni zaidi ya kimataifa toka nchi yatashiriki.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE, Bibi  Jaqueline Mneney Maleko wakati akizungumzia maandalizi ya Maonyesho ya 38  Kimataifa ya Dar es Salaam,  kwa waandishi wa Habari, ofisi za TANTRADE...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Tathmini ya kina ifanyike baada ya maonyesho DITF

TAKWIMU zinaonyesha kuwa, ushiriki wa watu na kampuni katika Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), maarufu Saba Saba, yaliyomalizika hivi karibuni, jijini Dar es Salaam, umeongezeka.

Inaelezwa ushiriki wa wafanyabiashara wa ndani na wa nje umeongezeka kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Ushiriki wa mashirika ya nje ya nchi umeongezeka kutoka 108 hadi kufikia 500, huku ya ndani nayo yakiongezeka kutoka 1,400 hadi 1,750. Nchi zilizoshiriki...

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashara, DITF

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE Bibi Jaqueline Mneney Maleko akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara ya Nje wa TANTRADE, Bibi. Anna Bulondo.
Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania changamkieni huduma ya ‘Jijenge’

BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kuchangamkia huduma ya ‘Jijenge’ itakayowawezesha kupata nyumba kwa gharama nafuu. Akizungumza na Tanzania Daima jana katika banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 38 ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania changamkieni shindano kilimo cha biashara’

WATANZANIA wenye mawazo ya biashara katika sekta ya kilimo wamehamasishwa  kushiriki shindano la awamu ya tatu ya dirisha la ufadhili wa kilimo cha biashara  kwa ajili ya kuendeleza sekta hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB: Watanzania changamkieni mikopo ya pikipiki, bajaji

BENKI ya NMB imewataka Watanzania kuchangamkia mkopo wa pikipiki na bajaji, ili kupata nafuu ya usafiri na  kuweza kujiajiri kwa kutumia usafiri huo. Ofisa Mikopo wa benki hiyo, Donatila Wapalila,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania, Waturuki kushiriki maonyesho Dar

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kushiriki kwenye maonyesho ya bidhaa za sekta mbalimbali kutoka Uturuki yatakayoanza kesho. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Balozi wa Uturuki nchini hapa,...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAALIKA WATANZANIA MAONYESHO YA BIASHARA 2015

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi Mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani