Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania changamkieni huduma ya ‘Jijenge’

BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kuchangamkia huduma ya ‘Jijenge’ itakayowawezesha kupata nyumba kwa gharama nafuu. Akizungumza na Tanzania Daima jana katika banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 38 ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania changamkieni maonyesho DITF’

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara kupitia maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) ambayo kwa mwaka huu yatajumuisha makampuni mengi zaidi ya kimataifa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania changamkieni shindano kilimo cha biashara’

WATANZANIA wenye mawazo ya biashara katika sekta ya kilimo wamehamasishwa  kushiriki shindano la awamu ya tatu ya dirisha la ufadhili wa kilimo cha biashara  kwa ajili ya kuendeleza sekta hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB: Watanzania changamkieni mikopo ya pikipiki, bajaji

BENKI ya NMB imewataka Watanzania kuchangamkia mkopo wa pikipiki na bajaji, ili kupata nafuu ya usafiri na  kuweza kujiajiri kwa kutumia usafiri huo. Ofisa Mikopo wa benki hiyo, Donatila Wapalila,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi

CEOsir PIC01

. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa  kuwa sababu kubwa ya watanzania  wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.

Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.

Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.

Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora.
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...

 

11 years ago

Michuzi

M-PESA YAENDELEA KURAHISISHA HUDUMA KWA WATANZANIA

Dar es Salaam,Tanzania Juni 10, 2014 , Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2008, huduma ya M pesa imendelea kuwa huduma yenye mafanikio zaidi katika utoaji wa huduma za kifedha huku ikiwanufaisha watanzania ambao wanauwezo wa kutuma na kupokea pesa kupitia mawakala zaidi ya 70,000, walioenea nchini kote.
Akizungumzia mafanikio ya huduma hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza amesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, huduma hiyo imeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya huduma za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania watahimizwa kujitolea kutumia huduma ya NitafuteApp

nitafuteapp_login

Na Nyakongo Manyama- Maelezo

Shirika la Kimataifa linalofanya kazi kupitia Tume ya Taifa Tanzania dawati la vijana UNESCO imeanzisha huduma iitwayo NitafuteApp ili kuwezesha utafutaji, utambuzi, uokozi matibabu ya huduma ya kwanza kisaikolojia pamoja na utoaji taarifa wa watu waliopotea.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji Mradi wa NitafuteApp Tryhone Elias amesema kuwa huduma hiyo ina lengo la kutafuta, kutambua na kutoa taarifa wa watu...

 

10 years ago

Michuzi

Huduma ya Simu Dokta yanufaisha maelfu ya watanzania


Idadi ya wanaojiunga nayo yazidi kuongezeka

Kulwa Saiduni wa Bombo,mkoani Tanga ni miongoni mwa maelfu ya watanzania wanaoweza kupata taarifa zinazohusu afya katika hali ya utulivu wakiwa majumbani mwao.Hii inatokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuanzisha huduma ya Simu Dokta ambayo inawawezesha wateja wake waliojiunga na huduma hii kupata taarifa za afya kupitia simu zao za mkononi.
Hii huduma ni ya aina yake kuanzishwa nchini Tanzania ikiwa inatolewa na Vodacom.Inashirikisha...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI - BENNO NDULU‏

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani