Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Basata kutoa tuzo tano za sanaa

WASANII WA ZAMANIZAMDA BIWI NA IDDY ABDALLAH, (RCT)

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limepanga kutoa tuzo tano kwa wasanii waliochangia jamii na waliotumia maisha yao yote katika maendeleo ya sanaa kwa ujumla nchini.

Tuzo hizo zitakazotolewa katika maadhimisho ya siku ya msanii yatakayofanyika Desemba 12, katika ukumbi wa Blue Pearl uliopo jijini Dar es Salaam, yatakuwa na kauli mbiu ya ‘Nguvu ya Sanaa’.

Mkurugenzi wa Ukuzaji wa Masoko, Nsao Vivian, alisema lengo la maadhimisho hayo ni kumtambulisha msanii,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nawapongeza Basata kupeleka sanaa shuleni

AHLANWASAHLAN msomaji wa safu ya Busati popote pale ulipo. Wiki iliyopita nilipata mwaliko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuhudhuria mkakati wa kuibua, kukuza  na kuendeleza vipaji vya sanaa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Basata yahimiza wadau wa sanaa kufuata kanuni

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa msisitizo kwa waandaaji wa matamasha na mashindano ya Sanaa na urembo kuzingatia kanuni na taratibu zilizopo katika kuendesha matukio yao. Msisitizo huo umetolewa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa sanaa, kumbi, watakiwa kujisajili Basata

KAIMU Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungeleza amewataka wasanii na wadau wote wanaojihusisha na shughuli za sanaa kujisajili kwa baraza hilo kupata vibali vya kuendesha...

 

10 years ago

GPL

BASATA KUENDESHA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO‏

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI BASATA KUENDESHA PROGRAM YA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO WAPATAO 215 KUTOKA WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SALAAM. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kufufua, kukuza na kuendeleza Sanaa kwa kushirikiana na taasisi ya Ako’mungoma Poverty Alleviation Organization (APAO) linaendesha programu ya wiki tatu ya Sanaa kwa watoto katika Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu...

 

10 years ago

GPL

BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUJIUSHISHA NA KAZI ZA SANAA

STAA wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed 'Shilole'  Zuwena Mohammed 'Shilole' amefungiwa mwaka mmoja na Baraza la Sanaa la Taifa kujihushisha na kazi za sanaa kutokana na kucheza uchi nchini Ubelgiji.…

 

10 years ago

Bongo Movies

BASATA Watoa Maelezo ya Kwanini Limemfungia Shilole Kutojihusisha na Sanaa

Baraza la Sanaa la taifa, BASATA, limemfungia Shilole kutojihusisha na masuala ya muziki ndani na nje ya Tanzania kwa mwaka mmoja.

BASATA limempa barua Shilole jana yenye taarifa za kufungiwa kwake.

Adhabu hiyo imetolewa kufuatia tukio la msanii huyo kupigwa picha za aibu wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji miezi kadhaa iliyopita.

Hii ni taarifa rasmi ya BASATA:

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi...

 

10 years ago

Vijimambo

Shilole afungiwa na Basata kwa mwaka mmoja kufanya sanaa


Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka...

 

10 years ago

Vijimambo

Shilole Akiongelea ni kuhusu Baraza la sanaa Tanzania [BASATA] kumfungia...


Shilole amelalamikia uwamuzi wa BASATA kumfungia kufnya muziki na shughuli za kisanii kwa muda wa mwaka mmoja, Hii video Exclusive kutoka FahamuTv na Sammisago.com, Audio ya Sauti kutoka BASATA Inasikia pia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani