Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUJIUSHISHA NA KAZI ZA SANAA

STAA wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed 'Shilole'  Zuwena Mohammed 'Shilole' amefungiwa mwaka mmoja na Baraza la Sanaa la Taifa kujihushisha na kazi za sanaa kutokana na kucheza uchi nchini Ubelgiji.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUTOJIHUSISHA NA MUZIKI

Habari zilizotufikia jana usiku July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) zinasema kuwa baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.Kwa zaidi soma hii barua hapa chini



 

10 years ago

Vijimambo

Shilole afungiwa na Basata kwa mwaka mmoja kufanya sanaa


Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SHILOLE AFUNGIWA KUJISHUGHULISHA NA KAZI ZA SANAA KWA MUDA WA MWAKA MMOJA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zuena Mohamed kwa jina la kisanii Shilole kufanya shughuli za sanaa nchini kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia tarehe 24/07/2015 hadi tarehe 24/07/2016.
Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 09/05/2015 akiwa katika onyesho lake la Muziki nchini Ubelgiji alikiuka maadili ya kazi ya sanaa mbele ya hadhira ya  wapenda sanaa za Tanzania na hivyo akadhalilisha utu wake na jamii ya...

 

10 years ago

Habarileo

Basata yamtupa ‘jela’ Shilole mwaka mmoja

BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa mwaka mmoja ndani ya nchi na nje.

 

10 years ago

Mwananchi

Basata yamfungia Shilole kwa uvunjifu wa maadili

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole kujihusisha na shughuli za sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.

 

10 years ago

Bongo Movies

BASATA Watoa Maelezo ya Kwanini Limemfungia Shilole Kutojihusisha na Sanaa

Baraza la Sanaa la taifa, BASATA, limemfungia Shilole kutojihusisha na masuala ya muziki ndani na nje ya Tanzania kwa mwaka mmoja.

BASATA limempa barua Shilole jana yenye taarifa za kufungiwa kwake.

Adhabu hiyo imetolewa kufuatia tukio la msanii huyo kupigwa picha za aibu wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji miezi kadhaa iliyopita.

Hii ni taarifa rasmi ya BASATA:

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi...

 

10 years ago

Vijimambo

Shilole Akiongelea ni kuhusu Baraza la sanaa Tanzania [BASATA] kumfungia...


Shilole amelalamikia uwamuzi wa BASATA kumfungia kufnya muziki na shughuli za kisanii kwa muda wa mwaka mmoja, Hii video Exclusive kutoka FahamuTv na Sammisago.com, Audio ya Sauti kutoka BASATA Inasikia pia.

 

9 years ago

Mtanzania

‘Ningefanyaje’ yamfungia mwaka Ben Pol

benNA BADI MCHOMOLO

MKALI wa muziki wa RnB nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’, anaumaliza mwaka kwa kuachia video ya Ningefanyaje ambayo amemshirikisha msanii kutoka nchini Kenya, Aviril Nyambura.

Video hiyo tayari imeachiwa jana katika vituo mbalimbali vya runinga hapa nchini, huku ikiwa imeandaliwa na mtayarishaji Mswaki.

Ben Pol amesema vipande vya video hiyo vimefanyika mjini Pretoria, nchini Afrika Kusini chini ya mwongozaji, Justin Campos, akiwa na kampuni yake ya Gorilla Films.

Msanii huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nawapongeza Basata kupeleka sanaa shuleni

AHLANWASAHLAN msomaji wa safu ya Busati popote pale ulipo. Wiki iliyopita nilipata mwaliko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuhudhuria mkakati wa kuibua, kukuza  na kuendeleza vipaji vya sanaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani