Shilole Akiongelea ni kuhusu Baraza la sanaa Tanzania [BASATA] kumfungia...

Shilole amelalamikia uwamuzi wa BASATA kumfungia kufnya muziki na shughuli za kisanii kwa muda wa mwaka mmoja, Hii video Exclusive kutoka FahamuTv na Sammisago.com, Audio ya Sauti kutoka BASATA Inasikia pia.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUJIUSHISHA NA KAZI ZA SANAA
10 years ago
Bongo Movies31 Jul
BASATA Watoa Maelezo ya Kwanini Limemfungia Shilole Kutojihusisha na Sanaa
Baraza la Sanaa la taifa, BASATA, limemfungia Shilole kutojihusisha na masuala ya muziki ndani na nje ya Tanzania kwa mwaka mmoja.
BASATA limempa barua Shilole jana yenye taarifa za kufungiwa kwake.
Adhabu hiyo imetolewa kufuatia tukio la msanii huyo kupigwa picha za aibu wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji miezi kadhaa iliyopita.
Hii ni taarifa rasmi ya BASATA:
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi...
10 years ago
Vijimambo01 Aug
Shilole afungiwa na Basata kwa mwaka mmoja kufanya sanaa

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka...
11 years ago
MichuziKAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA SANAA TANZANIA AZINDUA CD YA WASANII KUHUSU KATIBA MPYA
10 years ago
Bongo Movies03 Aug
Shilole Azumgumza Mengine Haya Kuhusu Rungu la Basata
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) July 30 walimkabidhi barua ya kumsimamisha Shilole kufanya kazi za muziki kwa muda wa mwaka mmoja,taarifa ambayo iliwashtua wadau wengi wa muziki kuhoji zaidi kuhusu hukumu hiyo namna ilivyofanywa.
Kama unakumbuka miezi 3 iliyopita Shilole alienda kufanya show nchini Ubelgiji wakati akitumbuiza jukwaani kwa bahati mbaya sehemu ya kifua chake(TITI) ilijitokeza kwa nje baadae picha zikapigwa na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Baada ya hukumu hiyo...
11 years ago
Michuzi07 Apr
10 years ago
Mtanzania16 Oct
Basata kutoa tuzo tano za sanaa
ZAMDA BIWI NA IDDY ABDALLAH, (RCT)
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limepanga kutoa tuzo tano kwa wasanii waliochangia jamii na waliotumia maisha yao yote katika maendeleo ya sanaa kwa ujumla nchini.
Tuzo hizo zitakazotolewa katika maadhimisho ya siku ya msanii yatakayofanyika Desemba 12, katika ukumbi wa Blue Pearl uliopo jijini Dar es Salaam, yatakuwa na kauli mbiu ya ‘Nguvu ya Sanaa’.
Mkurugenzi wa Ukuzaji wa Masoko, Nsao Vivian, alisema lengo la maadhimisho hayo ni kumtambulisha msanii,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Nawapongeza Basata kupeleka sanaa shuleni
AHLANWASAHLAN msomaji wa safu ya Busati popote pale ulipo. Wiki iliyopita nilipata mwaliko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuhudhuria mkakati wa kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya sanaa...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Basata yahimiza wadau wa sanaa kufuata kanuni
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa msisitizo kwa waandaaji wa matamasha na mashindano ya Sanaa na urembo kuzingatia kanuni na taratibu zilizopo katika kuendesha matukio yao. Msisitizo huo umetolewa...