EDWARD SAIDI- MWANZILISHI WA SANAA YA TINGATINGA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
ANAFAHAMIKA kwa jina la Edward Saidi 'Tingatinga' mchoraji wa kitanzania ambaye pia anaelezwa kuwa ni mwanzilishi wa mtindo wa uchoraji maarufu kama Tingatinga, ambao umekuwa kivutio kwa watalii na umekuwa ukifanywa katika nchi za Tanzania, Kenya na baadhi ya maeneo katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Tingatinga ni sanaa ya ufundi inayojumuisha uchoraji, upakaji rangi, ufinyanzi, uchongaji na utengenezaji wa mapambo ya asili na utamaduni.
Tingatinga ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
China na Tanzania kuendelea kushirikiana katika Sanaa za michoro, ikiwemo ya Tingatinga
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa Tuzo la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi....
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
10 years ago
Mwananchi13 Jul
JK amfananisha Magufuli na 'tingatinga'
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Magufuli, tingatinga lisiloacha kitu
10 years ago
Habarileo02 Jun
Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga
SERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.
10 years ago
Habarileo13 Jul
Kikwete: Huyu ni sawa na tingatinga
MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amemfananisha mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli na tingatinga na kuwa akiwa Rais, Tanzania itanufaika sana.
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Komba azikwa kwa tingatinga