Kikwete: Huyu ni sawa na tingatinga
MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amemfananisha mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli na tingatinga na kuwa akiwa Rais, Tanzania itanufaika sana.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Rais Kikwete kuiweka sawa bajeti
Rais Jakaya Kikwete juzi alitua mjini Dodoma na kukutana na viongozi wa juu wa Serikali akiwamo Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Baraza la Mawaziri, huku taarifa zikieleza kuwa ujio wake ni kwa ajili ya kuweka mambo sawa kuhusu Bajeti ya Serikali.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Kikwete: Msimchague huyu
Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini nchini kuwahimiza waumini wao kuwachagua wanasiasa wasiokuwa waovu, wasiofanana na uovu au hata kuukaribia.
10 years ago
Bongo527 Dec
Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo
Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]
10 years ago
Mwananchi13 Jul
JK amfananisha Magufuli na 'tingatinga'
>Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli ameelezewa na watu mbalimbali kuwa ni mchapakazi, makini, asiyependa uvivu, lakini Rais Jakaya Kikwete amehitimisha yote kwa kumpachika jina la “tingatingaâ€.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga
SERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.
9 years ago
MichuziTUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Komba azikwa kwa tingatinga
>Safari ya mwisho ya mbunge wa Mbinga Magharibi jana ilihitimishwa saa 9.25 alasiri wakati mwili wake ulipofunikwa na mfuniko mkubwa wa zege uliobebwa na gari maarufu kwa jina la “kijikoâ€.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania