Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete kuiweka sawa bajeti

Rais Jakaya Kikwete juzi alitua mjini Dodoma na kukutana na viongozi wa juu wa Serikali akiwamo Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Baraza la Mawaziri, huku taarifa zikieleza kuwa ujio wake ni kwa ajili ya kuweka mambo sawa kuhusu Bajeti ya Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bajeti ya mwisho ya Rais Kikwete

 Waziri wa Fedha, Saada Mkuya SalumSERIKALI imewasilisha mwelekeo wa bajeti kwa Kamati ya Bunge, ambayo inalenga zaidi kupeleka umeme na huduma za maji vijijini, kumalizia miradi ambayo haijakamilika na kutenga fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Huyu ni sawa na tingatinga

Mgombea Urais kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma.MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amemfananisha mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli na tingatinga na kuwa akiwa Rais, Tanzania itanufaika sana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Obama ataka mgao sawa wa rasilimali

Rais Barak Obama, amesema Marekani inafanya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii baada ya miaka mingi ya mdororo wa uchumi na vita

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Habarileo

Bajeti ya mwisho ya Kikwete leo

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.LEO ni siku ya Bajeti Kuu. Masikio ya Watanzania yataelekezwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma wakati Serikali itakapowasilisha Bajeti Kuu ya mwaka 2015/16.

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

9 years ago

Michuzi

Bajeti za nchi zizingatie ustawi wa wanawake: Kikwete


Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akihojiwa na Joseph Msami wa Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha:UN-Idhaa ya Kiswahili/Assumpta Massoi)Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amesema wanawake hawajengewi mazingira ya kutosha ya ustawi wa kijamii na  kiuchumi kama ilivyo wanaume hususani katika nchi zinazoendelea akitolea mfano wa bajeti za serikali ambazo hazizingatii ukuaji nwa kundi hilo. Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhutubia mjadala kuhusu kupambana na...

 

9 years ago

GPL

KADJANITO KUIWEKA SINA MARINGO KIDEONI!

STAA wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Khadija Said Maige ‘Kadjanito’ ameweka wazi juu ya ujio wake wa Sina Maringo kwamba yupo mbioni kutoka na video yake. Kadjanito aliyewahi kubamba na Ngoma ya Maumivu amesema kuwa video hiyo imeandaliwa nchini na kwamba hajaona sababu ya kukimbilia kwenda kuitengenezea nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya mastaa wa muziki huo. “Mashabiki wangu wakae mkao wa kula kwani nipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani