KADJANITO KUIWEKA SINA MARINGO KIDEONI!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/nitoo.jpg)
STAA wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Khadija Said Maige ‘Kadjanito’ ameweka wazi juu ya ujio wake wa Sina Maringo kwamba yupo mbioni kutoka na video yake. Kadjanito aliyewahi kubamba na Ngoma ya Maumivu amesema kuwa video hiyo imeandaliwa nchini na kwamba hajaona sababu ya kukimbilia kwenda kuitengenezea nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya mastaa wa muziki huo. “Mashabiki wangu wakae mkao wa kula kwani nipo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Wimbo mpya: Kadja Nito — Sina Maringo
Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito.
Sikiliza wimbo wake wenye mahadhi ya Zouk hapa chini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t4lRGZ5APQuZO761cBXZcy1zaYP9hXAnnjbRjX4TyK-PfG-VzZJ4zudS-qjxvq2iHEl3aHHV2wnAhr0fJsTdsjmEppnUNE1b/IMG_2164.jpg?width=750)
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Tunda Man amweka ‘Msambinungwa’ kideoni
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ juzi amezindua video ya ngoma...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/rCmzFMg8ehc/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Rais Kikwete kuiweka sawa bajeti
9 years ago
Mtanzania21 Nov
MSAMI: Tekno hana maringo
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII na mkali wa kudance Bongo, Msami Baby amesema nyota wa wimbo wa Duro, Tekno hana maringo kama
walivyo mastaa wengine wanaliofanikiwa.
Akichonga na Swaggaz, Msami alisema kolabo yake na Tekno ilichukua muda mchache kukamilika kutokana na
msanii huyo kutoka Nigeria kutokuwa na mashauzi ambayo yangechelewesha ngoma yao.
“Audio na video tulifanya kwa muda mfupi sana, haikuchukua muda kila kitu kilikwenda sawa, siku chache
zijazo ngoma hiyo itadondoka kitaa so...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Ripoti ya wizara yazidi kuiweka pabaya IMTU
11 years ago
Michuzi19 Mar
introducing Kadjanito Nzogo Official Music Video