Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAMI: Tekno hana maringo

msamiNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na mkali wa kudance Bongo, Msami Baby amesema nyota wa wimbo wa Duro, Tekno hana maringo kama
walivyo mastaa wengine wanaliofanikiwa.

Akichonga na Swaggaz, Msami alisema kolabo yake na Tekno ilichukua muda mchache kukamilika kutokana na
msanii huyo kutoka Nigeria kutokuwa na mashauzi ambayo yangechelewesha ngoma yao.

“Audio na video tulifanya kwa muda mfupi sana, haikuchukua muda kila kitu kilikwenda sawa, siku chache
zijazo ngoma hiyo itadondoka kitaa so...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KADJANITO KUIWEKA SINA MARINGO KIDEONI!

STAA wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Khadija Said Maige ‘Kadjanito’ ameweka wazi juu ya ujio wake wa Sina Maringo kwamba yupo mbioni kutoka na video yake. Kadjanito aliyewahi kubamba na Ngoma ya Maumivu amesema kuwa video hiyo imeandaliwa nchini na kwamba hajaona sababu ya kukimbilia kwenda kuitengenezea nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya mastaa wa muziki huo. “Mashabiki wangu wakae mkao wa kula kwani nipo...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

KIBA KUMBUKA MAJIVUNO, MARINGO NDIVYO VILIVYOKUPOTEZA!

Kwako
staa uliyerudi kivingine na wimbo wa Mwana, Ali Kiba. Vipi uko poa? Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na harakati zako za kimuziki.Ukitaka kujua hali yangu, mimi ni mzima wa afya namshukuru Mungu maisha yanasonga. Naendelea na majukumu ya kila siku likiwemo hili la kukuandikia barua. Pasipo kupepesa macho, pamoja na salamu, dhumuni la kukuandikia barua hii ni kwamba kuna kitu kimenigusa nataka kukukumbusha maana...

 

10 years ago

GPL

WIMBO MPYA: KADJA NITO - SINA MARINGO

Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito .

 

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya: Kadja Nito — Sina Maringo

KadjaVover

Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito.

Sikiliza wimbo wake wenye mahadhi ya Zouk hapa chini.

 

9 years ago

Vijimambo

MSAMI WA RADIO UN NEW YORK CITY

Msami wa radio UN New York City  anawatakia amani Watanzania wote kwenye uchaguzi, anasema kuna maisha baada ya uchaguzi.

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella: Nilidhani Koffi Olomide ataniletea maringo

Bella akiwa na Koffi Olomide

Mwimbaji mahiri, Christian Bella amesema babla ya kukutana na msanii mkongwe wa DR Congo, Koffi Olomide na kufanyanae wimbo wa pamoja alidhani angemletea mringo.
12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n
Christian Bella na Koffi wakiwa studio

Bella ambaye alisafiri hadi DR Congo kwa ajili ya kolabo hiyo, ameiambia Bongo5 kuwa, aliogopeshwa na tabia ya msanii huyo ya kukataa kufanya kolabo mara kwa mara.

“Koffi mkubwa sana na ni msanii anayeheshimika sana Congo na mara nyingi afanyi kolabo za mara kwa mara, ndo maana nilidhani...

 

10 years ago

Mwananchi

Msami aonyesha maajabu miaka 10 ya THT

Giovanni Msami huenda akawa ni msanii aliyewafunika wasanii wote baada ya kufanya burudani ya aina yake katika jukwaa la miaka 10 ya Jumba la Vipaji Tanzania (THT), licha ya kuwapo Bendi ya jumba hilo. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani