KIBA KUMBUKA MAJIVUNO, MARINGO NDIVYO VILIVYOKUPOTEZA!
![](http://api.ning.com:80/files/7JAc5CeHqZ0gG6s7jg3MRYaCPE5-iUEhlHvllc5CfUy1I0E9aagfuq7zSmG1FjAFbWcp64Uj3JMuoGYF7CelT16Z*MVuNUjT/150000080.jpg)
Kwako staa uliyerudi kivingine na wimbo wa Mwana, Ali Kiba. Vipi uko poa? Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na harakati zako za kimuziki.Ukitaka kujua hali yangu, mimi ni mzima wa afya namshukuru Mungu maisha yanasonga. Naendelea na majukumu ya kila siku likiwemo hili la kukuandikia barua. Pasipo kupepesa macho, pamoja na salamu, dhumuni la kukuandikia barua hii ni kwamba kuna kitu kimenigusa nataka kukukumbusha maana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wU28LmN1CeXJ3RKZg6jASv7IGFP5ajHG44cCPKRB7IinGZnNwqM5NMEq7y0zHKu43HOaBNVvY4IIE6VomHLiwvj/MAMAWEMA.jpg?width=650)
FLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MMaj31ebAY9l2MolyluygPZKiZZmy-jI7d-VWsFlLJxHRMlCMCsTdjxRR5siQUTm-fyDYHsUOlEFeW30e9YlIOv*z5yzMLs2/MenCantResistAboutAWoman.jpg?width=650)
KUMBUKA KUBEMBELEZWA SANA SIYO KUPENDWA-2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4BkfFt9dM8NbnbCu3EQZ56PlZ2j21BIseXiyAf9v9tJw5X2vEtNpUoLFnFk8uSWgSL0HZavg0yL3SU*pATR47Dxx/couple.jpg?width=650)
KUMBUKA KUBEMBELEZWA SANA SIYO KUPENDWA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_yfDa5S_ypo/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s72-c/IMG_8684.jpg)
ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !
![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s640/IMG_8684.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TLHpBTM-VN8/VXppzvt5WtI/AAAAAAAATQg/Q2KIP7dpSME/s640/IMG_8711.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vKSD7mM66kI/VXppzO84QiI/AAAAAAAATQQ/LknsqisA5WE/s640/IMG_8706.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
9 years ago
Mtanzania21 Nov
MSAMI: Tekno hana maringo
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII na mkali wa kudance Bongo, Msami Baby amesema nyota wa wimbo wa Duro, Tekno hana maringo kama
walivyo mastaa wengine wanaliofanikiwa.
Akichonga na Swaggaz, Msami alisema kolabo yake na Tekno ilichukua muda mchache kukamilika kutokana na
msanii huyo kutoka Nigeria kutokuwa na mashauzi ambayo yangechelewesha ngoma yao.
“Audio na video tulifanya kwa muda mfupi sana, haikuchukua muda kila kitu kilikwenda sawa, siku chache
zijazo ngoma hiyo itadondoka kitaa so...
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6
![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s72-c/Alikiba%2Bdc1.png)
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6
![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING