KUMBUKA KUBEMBELEZWA SANA SIYO KUPENDWA
Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema na neema zake kutukutanisha tena Jumatatu hii katika kilinge chetu hiki cha XXlove kuzungumza yanayotusibu katika uhusiano wetu. Baada ya kuzungumzia mada ya Mambo Yanayofurahisha Faragha kwa takriban wiki mbili mfululizo, leo tuangalie mada inayohusu baadhi ya wapenzi wanaobembelezwa na wenza wao na kuhisi kuwa wanapendwa sana kumbe wakati mwingine wanachezewa tu akili na hisia...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLKUMBUKA KUBEMBELEZWA SANA SIYO KUPENDWA-2
9 years ago
GPLKUSOMA SANA SIYO KUFAULU
10 years ago
GPLWANAWAKE: MSITUMIE SUKARI SIYO NZURI SANA!
11 years ago
GPLFLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!
10 years ago
GPLKIBA KUMBUKA MAJIVUNO, MARINGO NDIVYO VILIVYOKUPOTEZA!
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...
10 years ago
Vijimambo11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Uhuru wa kupenda na kupendwa
10 years ago
GPLHERI KUPENDWA KULIKO MAUMIVU YA KUPENDA!