Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBUKA KUBEMBELEZWA SANA SIYO KUPENDWA-2

Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia pumzi na kuiona siku hii njema ya Jumatatu. Karibu mpenzi msomaji wangu wa safu hii ya XXLove ambaye umekuwa ukifuatilia mada zangu pamoja na kutoa maoni mbalimbali. Wiki iliyopita tulizungumza namna ambavyo baadhi ya watu hujikuta wanaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wenza wasiokuwa na mapenzi ya dhati bali hutumia ulaghai wa kubembeleza na kupetipeti kinafiki.
Niliahidi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KUMBUKA KUBEMBELEZWA SANA SIYO KUPENDWA

Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema na neema zake kutukutanisha tena Jumatatu hii katika kilinge chetu hiki cha XXlove kuzungumza yanayotusibu katika uhusiano wetu. Baada ya kuzungumzia mada ya Mambo Yanayofurahisha Faragha kwa takriban wiki mbili mfululizo, leo tuangalie mada inayohusu baadhi ya wapenzi wanaobembelezwa na wenza wao na kuhisi kuwa wanapendwa sana kumbe wakati mwingine wanachezewa tu akili na hisia...

 

9 years ago

GPL

KUSOMA SANA SIYO KUFAULU

SIYO wanafunzi tu, lakini hata watu wengi wamekuwa na dhana kwamba mwanafunzi anayesoma sana ndiye mwenye akili nyingi na kumtabiria kufaulu vizuri kuliko yule ambaye anasoma mara chache. Kimantiki mtazamo huo haupingiki kwa kuwa hata kwenye suala la afya mtu akiwa mnene basi huchukuliwa kuwa ni mwenye afya njema huku mwembamba akitazamiwa kama mtu mwenye matatizo ya kiafya jambo ambalo pia huweza kuwa kinyume chake. Vivyo hivyo...

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE: MSITUMIE SUKARI SIYO NZURI SANA!

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la masuala ya afya la nchini Uingereza (BMC Public Health), unywaji wa vinywaji vyenye sukari, kiasi cha mara tatu kwa wiki, huweza kunenepesha matiti na unenepaji wa matiti huongeza hatari ya mwanamke kupatwa na saratani ya matiti. Waliofanyiwa utafiti huo ni wanawake 776 ambao hawajafikia ukomo wa hedhi (Premenopausal) na wanawake 779 waliofikia ukomo wa hedhi...

 

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!

MIMI ni mkristo wa dhehebu la Roma. Mafundisho mengi tunayopewa kuanzia Ubatizo, Komunyo ya Kwanza na Kipaimara, tunafundishwa kuhusu kutenda mema, kupendana wenyewe kwa wenyewe na hata kuwapenda maadui zetu. Tunaambiwa, akija mtu akakupiga kofi shavu lako la  kushoto, wala hata usimrudishie, bali mgeuzie na upande ule wa kulia na akishakutundika hivyo vibao vyake, muombe Mwenyezi Mungu amsamehe. Tunafundishwa kusamehe, ndiyo...

 

10 years ago

GPL

KIBA KUMBUKA MAJIVUNO, MARINGO NDIVYO VILIVYOKUPOTEZA!

Kwako
staa uliyerudi kivingine na wimbo wa Mwana, Ali Kiba. Vipi uko poa? Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na harakati zako za kimuziki.Ukitaka kujua hali yangu, mimi ni mzima wa afya namshukuru Mungu maisha yanasonga. Naendelea na majukumu ya kila siku likiwemo hili la kukuandikia barua. Pasipo kupepesa macho, pamoja na salamu, dhumuni la kukuandikia barua hii ni kwamba kuna kitu kimenigusa nataka kukukumbusha maana...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru wa kupenda na kupendwa

Uhuru wa kupenda ni lugha ya kimataifa na wapendanao hupenda kuitetea kwa dhati. Lakini uhuru huo unakabiliwa na changamoto. Ali Mutasa

 

10 years ago

GPL

HERI KUPENDWA KULIKO MAUMIVU YA KUPENDA!

Ni Jumatatu nyingine ambayo tunakutana tena katika kilinge hiki cha XXLove tunachokitumia kuelimishana masuala ya mapenzi. Katika suala la uhusiano wa kimapenzi ni vigumu sana kujikuta mwanamke na mwanaume mkipendana kwa 100%. Ila ni rahisi mno kwa mmoja wenu kumpenda mwenza wake kwa asilimia zikaribiazo 100. Hata kama mmoja akipenda kwa asilimia mia moja na kumshawishi mwingine, ni nadra kwa ulimwengu wa sasa kuwakuta wapenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani