Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga

 Kassim MajaliwaSERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri zatakiwa kununua mashine za matofali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununua mashine za matofali yanayofungana (Tanzania Interlocking Bricks Machine), kwa ajili ya kupunguza tatizo la ajira katika halmashauri zao....

 

11 years ago

Michuzi

HOSPITALI ZATAKIWA ZITUMIE VYANZO VINGINE VYA KUNUNUA DAWA

Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  Dkt. Kebwe Kebwe amewataka viongozi wa halmashauri kushirikiana na waganga wakuu kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinavyotolewa na Serikali kupitia Bohara Kuu ya Dawa MSD vinatumika ipasavyo.

Dkt. Kebwe alisema hayo jana wilayani Masasi Mkoani Mtwara katika ziara ya kwanza toka uteuzi wake kutoka kwa Rais Kikwete wakati akiwa na kamati ya kudumu ya Bunge  huduma za jamii kukagua taratibu za usambazaji dawa vituo na hospitali za...

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kuongeza mapato

MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk Idrissa Muslim Hija amewataka watendaji wa Serikali ya Mkoa wa Kusini, ikiwemo Halmashauri za miji, kuongeza mapato kwa ajili ya kutekeleza miradi waliyojipangia.

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kuunda kamati za nishati

George SimbachaweneWAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Idanda wilayani Chato mkoani Geita huku akiwataka viongozi wa halmashauri nchini kuunda kamati za nishati.

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutafuta vyanzo vipya

HALMASHAURI za wilaya zimetakiwa kujipanga upya na kutafuta vyanzo vingine vya mapato, kwani wakiingia madarakani watafuta ushuru na kodi zote zinazowakera wananchi, hasa wale wafanyabiashara wadogo.

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO MIRADI YA MAENDELEO

IMG-20140625-WA0044 Mkurugenzi  Mkuu wa wakala wa barabara (TANROADS) ,Injinia Patrick Mfugale akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa Arusha-Holili /TAVETA –VOI kilometa 122 pamoja na Arusha –bypass (km 42)  unaofadhiliwa na benki ya maendeleo ya Afrika (ADB)uliyofanyika  jijini Arusha IMG-20140625-WA0045-1 Mkuu wa Mkoa Arusha Magessa Mulongo akiongea katika uzinduzi huo IMG-20140625-WA0040Mwakilishi wa benki ya maendeleo ya Afrika (ADB), Injinia Patrick Musa akiongea kwenye uzinduzi huo
HALMASHAURI mbalimbali nchini kwa kushirikiana na wananchi...

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama

SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUWA NA OPERESHENI MAALUM YA UPIMAJI ARDHI


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akishangaa utunzaji Nyaraka na Majalada ya Ardhi kwenye ofisi za Ardhi ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoa wa Mara alipokuwa katika ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi jana.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akitoka kwenye Ofisi za Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Tarime alipokuwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mkoani Mara jana.

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA

Katibu wa Kikundi cha Sayari, Bibi. Mwanaisha Ali akikabidhi Risala ya Kikundi hicho kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga mwishoni mwa wiki alipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kukagua maendeleo ya shughuli za vikundi vya Vijana Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi. Mwenyekiti wa Kikundi cha Sayari, Bw. Ramadhan Sungura akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani