Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri zatakiwa kununua mashine za matofali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununua mashine za matofali yanayofungana (Tanzania Interlocking Bricks Machine), kwa ajili ya kupunguza tatizo la ajira katika halmashauri zao....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga

 Kassim MajaliwaSERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda aagiza halmashauri kununua mashine

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameziagiza halmashauri za miji kuhakikisha kuwa zinatenga Sh4.5 milioni kila mwaka kwa ajili ya ununuzi wa mashine 10 kwa ajili ya kufyatulia matofali ya gharama nafuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC yatoa mashine za matofali Kagera

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetoa mashine 28 za kufyatulia tofali zenye thamani ya sh milioni 12.6 lengo ikiwa ni kuwasaidia vijana kujiajiri na kuondokana na umasikini. Akizungumza katika...

 

11 years ago

Mwananchi

NHC yagawa mashine za kufyatulia matofali

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza kugawa mashine za kisasa za kufyatulia matofali katika halmashauri za mkoani Tanga, huku likiwataka vijana kuzitumia kama sehemu ya ajira yao.

 

9 years ago

Mwananchi

NCAA yafundisha ufyatuaji matofali kwa mashine

Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), imeamua kutunza mazingira yanayoizunguka kwa kuwafundisha vijana utengenezaji wa matofali ya udongo kwa kutumia mashine maalumu inayotumia mafuta ya diseli ili kuzuia ukataji wa miti.

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Mbagala Youth Group Said Mponda baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC ambalo limetoa mashine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana mashine hizo zilikabidhiwa kwa mkuu wa wilaya na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC tawi la Temeke Bw....

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC yazinyang’anya halmshauri za mikoa mashine za kufyatua matofali

*Mkoa wa Katavi na Rukwa washindwa kutumia fursa ya msaada huo

*NHC yanyang’anya mashine Halmashauri za Mikoa hiyo

*Zatakiwa kuomba upya mashine hizo na kuunda vikundi imara

Katika kuhakikisha kuwa rasilimali za umma zinatunzwa, kutumika ipasavyo na kuhakikiwa, NHC imeendelea kuwakagua vijana waliopewa msaada wa mashine za kufyatulia matofali yatakayowezesha wananchi kujijengea nyumba za gharama nafuu katika Halmashauri zote za Mikoa ya Katavi, Mbeya na kukamilika Mkoani Iringa.

Kwa ujumla,...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza halmashauri kuwa na miradi ya matofali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini, kuingiza katika mipango yake mradi wa kuwawezesha vijana kufyatua matofali kwa teknolojia ya kisasa, uliobuniwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ikiwa ni suluhu ya ajira na utunzaji wa mazingira.

 

11 years ago

Dewji Blog

Shirika la nyumba latoa mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vijana mkoani Pwani

 Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani.

Shirika la Nyumba la Taifa limetoa mashine hizo zenye gharama ya zaidi ya shilingi milioni 12 pamoja na mafunzo kwa vijana ya wiki mbili ambapo baada ya kumaliza mafunzo Shirika litatoa msaada wa shilingi laki tano kwa kila kikundi kama mtaji .

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani