Pinda aagiza halmashauri kununua mashine
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameziagiza halmashauri za miji kuhakikisha kuwa zinatenga Sh4.5 milioni kila mwaka kwa ajili ya ununuzi wa mashine 10 kwa ajili ya kufyatulia matofali ya gharama nafuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Halmashauri zatakiwa kununua mashine za matofali
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununua mashine za matofali yanayofungana (Tanzania Interlocking Bricks Machine), kwa ajili ya kupunguza tatizo la ajira katika halmashauri zao....
11 years ago
Habarileo21 Jan
Pinda aagiza halmashauri kuwa na miradi ya matofali
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini, kuingiza katika mipango yake mradi wa kuwawezesha vijana kufyatua matofali kwa teknolojia ya kisasa, uliobuniwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ikiwa ni suluhu ya ajira na utunzaji wa mazingira.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga
SERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ISIMhKsGNaA/Xrpzs4_jXLI/AAAAAAALp5A/rif3_N-XQm4uwr4Wz-Ws-ULust4rNA3fwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200217-WA0023.jpg)
USHIRIKA WA CHAURU WAHITAJI BIL.11 KUNUNUA MASHINE YA KUONDOLEA MAJI KWENYE MASHAMBA
USHIRIKA wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU) unaofanya kilimo katika mashamba ya Ruvu ,Kata ya Vigwaza Bagamoyo, Pwani, Unahitaji sh .bilioni. 11 kwa ajili ya kununua mashine ya kuondoa maji kwenye mashamba ya wanachama wake.
Hatua hiyo inalenga kuondokana na changamoto ya mashamba kuingia maji, hasa nyakati za mvua hali inayosababisha kushindwa kuendeleza kilimo.
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa CHAURU Sadala Chacha, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi...
10 years ago
Habarileo16 May
Aagiza halmashauri kuwezesha hatimiliki
HALMASHAURI zote nchini zimetakiwa kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kutoa Hatimiliki za kimila kwa wananchi.
10 years ago
Michuzi29 Aug
JK aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
11 years ago
Habarileo10 Dec
Halmashauri zaaswa kutumia mashine za kielektroniki
KAMATI ya Bunge ya Serikali za Mitaa imezishauri halmashauri zote nchini kutumia mashine za kielektroniki (EFDs), zitolewazo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa risiti za kupokea fedha kudhibiti tatizo la upotevu wa vitabu vya risiti.
10 years ago
Habarileo12 Jan
Mwanry aagiza halmashauri kutoa takwimu za maabara
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri, ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatoa takwimu ya vyumba vya madarasa walivyobadilisha matumizi yake na kuvifanya vyumba vya maabara.