Halmashauri zaaswa kutumia mashine za kielektroniki
KAMATI ya Bunge ya Serikali za Mitaa imezishauri halmashauri zote nchini kutumia mashine za kielektroniki (EFDs), zitolewazo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa risiti za kupokea fedha kudhibiti tatizo la upotevu wa vitabu vya risiti.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Jul
NHC yanyang’anya mashine za kufyatulia matofari baada ya Halmashauri za Mikoa kushindwa kutumia fursa hiyo
Kwa ujumla, vijana wana ari ya kutosha ingawa wana changamoto zinazohitaji msukumo wa Halmashauri zao, hasa za masoko ya matofali yao pamoja na mtaji wa kuwawezesha kuendelea na uzalishaji wa benki ya matofali ya kuuzia wananchi.
Katika ziara ya NHC Wakurugenzi Watendaji wa...
10 years ago
Vijimambo03 Jul
NHC YANYANGANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA BAADA YA KUSHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO
9 years ago
StarTV14 Nov
 Watanzania, taasisi zaaswa kutumia vyama vya ushirika kuimarisha uschumi endelevu
Watanzania na taasisi mbalimbali nchini zimeaswa kujenga uchumi imara na endelevu kupitia vyama vya ushirika.
Sera zilizopo hivi sasa nchini zinadaiwa kushindwa kumkomboa mwananchi kiuchumi kutokana na kutozingatia misingi na kanuni za vyama vya ushirika.
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizokuwa na ushirika imara lakini kwa sasa ushirika huo unaonekana kudorora kutokana na takwimu zinazoonyesha idadi ya wanachama wa vyama vya ushirika kutoridhisha.
Ufumbuzi wa tatizo hilo...
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)
Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.
Baadhi ya Waandishi wa...
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA MAFINGA KUTOA LESENI ZA BIASHARA KIELEKTRONIKI
Makabidhiano hayo yamefanyika Mei 19, 2020, katika Ofisi za BRELA Makao Makuu Jijini Dar es salaam yakishuhudiwa na Maofisa kutoka BRELA na Maofisa Biashara kutoka katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga.
Akizungumza katika hafla fupi...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Halmashauri zatakiwa kununua mashine za matofali
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununua mashine za matofali yanayofungana (Tanzania Interlocking Bricks Machine), kwa ajili ya kupunguza tatizo la ajira katika halmashauri zao....
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Pinda aagiza halmashauri kununua mashine
10 years ago
MichuziWafanyabiashara Washauriwa Kutumia Mashine za EFD
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Uchaguzi:Tanzania kutumia Mashine za BVR