Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALMASHAURI YA MAFINGA KUTOA LESENI ZA BIASHARA KIELEKTRONIKI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amekabidhi vifaa vya Tehama kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Bi. Saada Mwaruka kwa ajili ya utoaji wa Leseni za Biashara kielektroniki katika Halmashauri hiyo.
Makabidhiano hayo yamefanyika Mei 19, 2020, katika Ofisi za BRELA Makao Makuu Jijini Dar es salaam yakishuhudiwa na Maofisa kutoka BRELA na Maofisa Biashara kutoka katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga.
Akizungumza katika hafla fupi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

10 years ago

Mwananchi

Dereva wa lori lililoua 50 Mafinga afungiwa leseni

>Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi, wamezifungia leseni za madereva sita akiwamo Maga Magazini dereva wa lori lililogongana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express na kusababisha vifo vya watu 50 na wengine 22 kujeruhiwa.

 

9 years ago

Habarileo

Leseni za madini zaanza kulipiwa kielektroniki

WIZARA ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Leseni za Madini (OMCTP), ambao umeanza kutumika rasmi Desemba 10 mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri zaaswa kutumia mashine za kielektroniki

Rajab Mohamed MbaroukKAMATI ya Bunge ya Serikali za Mitaa imezishauri halmashauri zote nchini kutumia mashine za kielektroniki (EFDs), zitolewazo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa risiti za kupokea fedha kudhibiti tatizo la upotevu wa vitabu vya risiti.

 

10 years ago

Vijimambo

HALMASHAURI YA MUFINDI YAPEWA WIKI 3 KUJENGA KIZIMBA CHA TAKATAKA SOKO KUU MAFINGA

Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturuvijana wa mafinga wakishangila uwepo wa Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji MtaturuNa Fredy Mgunda,Mafindi.Halmashauri ya mufindi yapewa wiki 3 kujenga kizimba cha takataka soko kuu mafinga pia kusambaza maji katika vyoo vya halmashauri vilivyopo sokoni hapo.Wiki tatu hizo zimetolewa na Katibu wa chama cha mapinduzi wilayani mufindi Miraji Mtatulu baada ya kufanya ziara ya kushtukiaza katika soko hilo na kubaini kuwapo kwa kizimba kinacho...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Ukaguzi wa Leseni Za Biashara

 Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza ukaguzi wa leseni  zote za biashara nchini. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher.  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher (kati) akikazia tamko la serikali juu ya ukaguzi wa leseni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiobadilisha leseni za biashara kutozwa dola 5,000

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema wanachama ambao hawajabadilisha leseni za biashara ifikapo  Machi 16, mwaka huu watapigwa faini ya dola 5,000. Kamishna wa Forodha na Ushuru wa mamlaka hiyo,...

 

11 years ago

Habarileo

Ilala kutoa leseni kwa mtandao

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala jana imezindua utumiaji mitandao katika utoaji wa leseni ya biashara. Meya wa Manispaa hiyo, Jerry Silaa, alizindua mtandao huo jana katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani