Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva wa lori lililoua 50 Mafinga afungiwa leseni

>Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi, wamezifungia leseni za madereva sita akiwamo Maga Magazini dereva wa lori lililogongana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express na kusababisha vifo vya watu 50 na wengine 22 kujeruhiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Dereva wa basi lililoua ajisalimisha

DEREVA wa basi lililotumbukia katika korongo na kuua watu sita na kujeruhi vibaya wengine 18, waliokuwa wakisafiri kutoka Mbinga mjini kwenda Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, amejisalimisha polisi akiwa katika hali mbaya.

 

9 years ago

Habarileo

Dereva basi lililoua Urambo mahakamani

DEREVA wa basi la Allys Star, Alfa Haji (37) lililokuwa likitokea katika wilaya ya Kaliua kuelekea jijini Mwanza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Urambo mkoani Tabora, akikabiliwa na mashitaka 22 ikiwemo kusababisha vifo vya watu wanane na majeruhi 13.

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA MAFINGA KUTOA LESENI ZA BIASHARA KIELEKTRONIKI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amekabidhi vifaa vya Tehama kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Bi. Saada Mwaruka kwa ajili ya utoaji wa Leseni za Biashara kielektroniki katika Halmashauri hiyo.
Makabidhiano hayo yamefanyika Mei 19, 2020, katika Ofisi za BRELA Makao Makuu Jijini Dar es salaam yakishuhudiwa na Maofisa kutoka BRELA na Maofisa Biashara kutoka katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga.
Akizungumza katika hafla fupi...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva lori la mafuta afa ajalini

DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.

 

11 years ago

Habarileo

Taqwa lagongana na lori, dereva afa

DEREVA wa basi la kampuni ya Taqwa, Adam Ibrahim (50) amekufa papo hapo huku abiria kumi wakijeruhi baada ya gari alilokuwa anaendesha kutoka Dar es Salaam kwenda Bujumbura, Burundi kugongana na lori katika kitongoji cha Ngonho, Kata ya Miguwa wilayani hapa.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.

 

5 years ago

Michuzi

MGONJWA MWINGINE WA CORONA AONGEZEKA, NI DEREVA WA LORI, SASA WAFIKIA 13

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, alipokua akitangaza mgonjwa mpya wa ugonjwa wa Corona nchini. Kulia ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid.Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hamad Rashid akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo katika mkutano wa pamoja na Waziri Ummy kuhusiana na idadi mpya ya wagonjwa wa Corona.
Charles James, Globu ya JamiiIDADI ya wagonjwa wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani