Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva wa basi lililoua ajisalimisha

DEREVA wa basi lililotumbukia katika korongo na kuua watu sita na kujeruhi vibaya wengine 18, waliokuwa wakisafiri kutoka Mbinga mjini kwenda Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, amejisalimisha polisi akiwa katika hali mbaya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Dereva basi lililoua Urambo mahakamani

DEREVA wa basi la Allys Star, Alfa Haji (37) lililokuwa likitokea katika wilaya ya Kaliua kuelekea jijini Mwanza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Urambo mkoani Tabora, akikabiliwa na mashitaka 22 ikiwemo kusababisha vifo vya watu wanane na majeruhi 13.

 

10 years ago

Mwananchi

Dereva wa lori lililoua 50 Mafinga afungiwa leseni

>Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi, wamezifungia leseni za madereva sita akiwamo Maga Magazini dereva wa lori lililogongana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express na kusababisha vifo vya watu 50 na wengine 22 kujeruhiwa.

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA MANING NICE LILILOUA WAWILI LINDI

Wanausalama wakiwa eneo la ajali iliyotokea jana ikilihusisha basi la kampuni ya Maning Nice na bodaboda moja ambayo iligongwa na kuburuzwa pembeni eneo moja linaitwa Ngongo mita chache kutoka Lindi mjini.  Dereva wa pikipiki pamoja na mwenziye walipoteza maisha muda mfupi baada ya ajali huku basi likiwa halijaumia sana na abiria wote walitoka salama kasoro mama mmoja aliyepatwa na presha na kukimbizwa… ...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA

Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi. Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.…

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva wa basi mbaroni Pwani

MADEREVA wawili akiwemo wa basi la Kampuni ya BM, wanashikiliwa na Polisi mkoani Pwani, kwa tuhuma za kugonga watu na kusababisha vifo kwenye matukio tofauti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Basi la Taqwa laua dereva wake

BASI la Kampuni ya Taqwa lenye namba ya usajili T 532 BYJ lililokuwa likielekea nchini Burundi, limegonga magari mawili na kusababisha kifo cha dereva wake na kujeruhi baadhi ya abiria na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva basi la Muro mbaroni kwa kuua

JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa basi la Prince Muro, Said Mtatifikolo kwa tuhuma za kumuua mtembea kwa miguu baada ya kumgonga. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani