Basi la Taqwa laua dereva wake
BASI la Kampuni ya Taqwa lenye namba ya usajili T 532 BYJ lililokuwa likielekea nchini Burundi, limegonga magari mawili na kusababisha kifo cha dereva wake na kujeruhi baadhi ya abiria na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jan
Taqwa lagongana na lori, dereva afa
DEREVA wa basi la kampuni ya Taqwa, Adam Ibrahim (50) amekufa papo hapo huku abiria kumi wakijeruhi baada ya gari alilokuwa anaendesha kutoka Dar es Salaam kwenda Bujumbura, Burundi kugongana na lori katika kitongoji cha Ngonho, Kata ya Miguwa wilayani hapa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200324-WA0002.jpg)
MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200324-WA0002.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Bomu laua watatu, dereva wa jaji auawa
11 years ago
Habarileo02 Feb
Basi laua polisi 5
ASKARI Polisi watano wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso wa uso na basi la Kampuni ya Mohammed Trans. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Corolla lenye namba ya usajili T 770 ABT lililotumiwa na polisi hao na basi aina ya Scania lenye namba za usajili T 997 AVW, mali ya Kampuni ya Mohammed Trans lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Basi laua wawili, kujeruhi 40
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Basi lapinduka, laua watano
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Basi la Takbir laua watu 12
NA SEIF TAKAZA, IRAMBA
WATU 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa, baada ya basi la Kampuni ya Takbir kugongana na lori la mafuta katika Kijiji cha Kizonzo, Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Ajali hiyo ilitokea katika barabara kuu ya Dar es Salaam – Mwanza.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa 1.30 usiku wakati basi hilo lilipokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Geita.
Alisema...
11 years ago
Habarileo15 May
Basi laua watu 10 Mwanza
WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la Nyamhongholo, jijini Mwanza.