Basi lapinduka, laua watano
Watu watano wamefariki dunia papohapo na wengine 50 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupinduka katika Kijiji cha Makomero, wilayani Igunga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Mar
Basi lapinduka, laua 7 hifadhi ya Mikumi
WATU saba ambao wote ni wanaume wamekufa papo hapo na wengine 17 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Ifakara, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kupinduka ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa.
10 years ago
Vijimambo12 Nov
BASI LA WIBONELA LAPINDUKA KAHAMA ASUBUHI YA LEO
Basi la Kampuni ya Wibonela lapinduka Asubuhi ya leo Huko Kahama,
WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka.
Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
HOOD LAUA WATANO ARUSHA
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Shambulio la bomu laua watano, Somalia
10 years ago
CloudsFM16 Dec
Lori lililobeba maiti laua waombolezaji watano, lajeruhi 36
WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi jijini...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Basi laua polisi 5
ASKARI Polisi watano wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso wa uso na basi la Kampuni ya Mohammed Trans. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Corolla lenye namba ya usajili T 770 ABT lililotumiwa na polisi hao na basi aina ya Scania lenye namba za usajili T 997 AVW, mali ya Kampuni ya Mohammed Trans lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Basi laua wawili, kujeruhi 40
11 years ago
Habarileo15 May
Basi laua watu 10 Mwanza
WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la Nyamhongholo, jijini Mwanza.
10 years ago
Habarileo23 Apr
Ajali zarudi, basi laua 10
SIKU sita tangu ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace kuua watu 19 mkoani Mbeya, nchi imeendelea kukumbwa na ajali za barabarani. Safari hii watu kumi wamekatishwa uhai, kutokana na ajali ya basi na lori, iliyotokea mkoani Shinyanga jana.