Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Basi lapinduka, laua 7 hifadhi ya Mikumi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PauloWATU saba ambao wote ni wanaume wamekufa papo hapo na wengine 17 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Ifakara, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kupinduka ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Basi lapinduka, laua watano

Watu watano wamefariki dunia papohapo na wengine 50 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupinduka katika Kijiji cha Makomero, wilayani Igunga.

 

9 years ago

Habarileo

Fuso laua nyati 8 Mikumi

WANYAMA pori aina ya mbogo ‘ nyati’ wanane wenye thamani ya Sh milioni 32.6, wamekufa papo hapo kutokana na kugongwa na gari la mizigo, wakivuka barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

 

9 years ago

Mwananchi

Fusso laua nyati tisa Mikumi

Nyati tisa wa hifadhi ya taifa ya Mikumi wamegongwa na kufa papo hapo wakati wakivuka barabra ya Morogoro-Iringa na gari aina ya fuso iliyokuwa ikitokea Ifakara kwenda Chalinze.

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA WIBONELA LAPINDUKA KAHAMA ASUBUHI YA LEO

Picha sio basi husika
Basi la Kampuni ya Wibonela lapinduka Asubuhi ya leo Huko Kahama,

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka.
Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI

Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba.  Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi…

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 

 

11 years ago

Habarileo

Basi laua polisi 5

ASKARI Polisi watano wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso wa uso na basi la Kampuni ya Mohammed Trans. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Corolla lenye namba ya usajili T 770 ABT lililotumiwa na polisi hao na basi aina ya Scania lenye namba za usajili T 997 AVW, mali ya Kampuni ya Mohammed Trans lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma.

 

11 years ago

GPL

BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MORO

Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita. BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP, KAMA UNA MATUKIO KAMA HAYA, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU YA WHATSAPP 0753...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani