Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA WIBONELA LAPINDUKA KAHAMA ASUBUHI YA LEO

Picha sio basi husika
Basi la Kampuni ya Wibonela lapinduka Asubuhi ya leo Huko Kahama,

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka.
Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATU WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA BASI LA WIBONELA KUPINDUKA MJINI KAHAMA LEO



 Basi la Wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la Fantom Kahama. Chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona ya kuingia barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka. Na pia kibaka aliyekuwa anapekua na kuchomoa fedha na Vitu kwa majeruhi wa ajali hiyo amepigwa na kuchomwa moto hadi kufikia na watu wenye hasira kali. Mpaka sasa haijajulikana majeruhi ni wangapi na waliokufa ni...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA BASI WIBONELA LILILOPATA AJALI KAHAMA

Basi la abiria la Wibonela linalofanya safari zake kati ya mji wa Kahama na Dar es Salaam limepinduka na kusababisha vifo vya zaidi ya watu watano na kujeruhi wengi wengi mapema  asubuhi Jumatano Novemba 12, 2014. Ajali hiyo imetokea eneo la Fantom mjini Kahama uchunguzi wa awali wa polisi na mashuhuda unaonyesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.Polisi wa usalama barabarni, akichukua maelezo ya majeruhi baada ya kufikishwa hospitalini wilayani KahamaMajeruhi wakiwa hospitalini

 

10 years ago

Vijimambo

TASWILA KUTOKA ENEO LA AJALI KAHAMA BASI LA KAMPUNI YA WABONELA LILILOPINDUKA LEO ASUBUHI

Wananchi wakishuhudia basi la Wibonela lililopinduka leo asubuhi huko Kahama.Wananchi wakiwa eneo la ajali huku wengine wakijaribu kupata picha za hapa na paleWATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na...

 

10 years ago

Mwananchi

Basi lapinduka, laua watano

Watu watano wamefariki dunia papohapo na wengine 50 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupinduka katika Kijiji cha Makomero, wilayani Igunga.

 

10 years ago

Michuzi

Basi lapiga mweleka huko Kahama leo,watu watano wadaiwa kupoteza maisha

Basi la Wibonela linalofanya safari zake kati ya Kahama - Dar limepinduka na kupelekea zaidi ya watano kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhi vibaya,ajali hiyo imetokea mapema leo katika eneo la Fantom nje kidogo ya mji wa Kahama. Chanzo kinaelezwa ni mwendo kasi uliopelekea kumshinda dereva wa basi hilo wakati akikata kona ya kuingia barabara kuu hali iliyopelekea basi kupinduka.  Taarifa kamili tunaendelea kuifatilia na tutaendelea kujuzana hapa hapa.Sehemu ya Mashuhuda wa ajali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watu 2 wapoteza maisha kwenye ajali ya basi la Smart eneo la Lugoba leo asubuhi

unnamed

Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.

unnamed (1)

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko.

unnamed (2)

Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi ya leo.

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze...

 

10 years ago

Habarileo

Basi lapinduka, laua 7 hifadhi ya Mikumi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PauloWATU saba ambao wote ni wanaume wamekufa papo hapo na wengine 17 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Ifakara, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kupinduka ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani