PICHA ZINGINE ZA BASI WIBONELA LILILOPATA AJALI KAHAMA
Basi la abiria la Wibonela linalofanya safari zake kati ya mji wa Kahama na Dar es Salaam limepinduka na kusababisha vifo vya zaidi ya watu watano na kujeruhi wengi wengi mapema asubuhi Jumatano Novemba 12, 2014. Ajali hiyo imetokea eneo la Fantom mjini Kahama uchunguzi wa awali wa polisi na mashuhuda unaonyesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
Polisi wa usalama barabarni, akichukua maelezo ya majeruhi baada ya kufikishwa hospitalini wilayani Kahama
Majeruhi wakiwa hospitalini
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi12 Nov
WATU WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA BASI LA WIBONELA KUPINDUKA MJINI KAHAMA LEO
![](https://4.bp.blogspot.com/-4UdQLcd_cNw/VGM-Vk_59aI/AAAAAAAA8qU/fhtL_P02kQ0/s640/1.jpg)
10 years ago
Vijimambo12 Nov
BASI LA WIBONELA LAPINDUKA KAHAMA ASUBUHI YA LEO
Basi la Kampuni ya Wibonela lapinduka Asubuhi ya leo Huko Kahama,
WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka.
Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgpbgkwXgPDJ0xDhwyfx29mxDwhjEg4uiCzYo0eXr0w9xaBFAXYQydZEeD5QpWpU8HzKxtUlRigc9Sxv9BvQ9z*/BREAKINGNEWS.gif)
WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA
10 years ago
Vijimambo12 Nov
TASWILA KUTOKA ENEO LA AJALI KAHAMA BASI LA KAMPUNI YA WABONELA LILILOPINDUKA LEO ASUBUHI
![](https://2.bp.blogspot.com/-MKJ5wTAyQ6c/VGMbP4awraI/AAAAAAAARDk/5H12Zr89tZk/s640/2.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-IoiB2yiEEXY/VGMbQjhOrCI/AAAAAAAARDs/ZuuZ5204iQE/s640/3.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-vqs5hVWxQLw/VGMkqHYc1XI/AAAAAAAAqxU/Y_9BOn81xcE/s640/1.jpg)
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s72-c/unnamed.jpg)
ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s640/unnamed.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/v/t35.0-12/10682626_501968869906388_476778403_o.jpg?oh=4a471090d5fb90dc13746e89374b209c&oe=543C704F&__gda__=1413328464_e25738227d30076255ef91c0a91ae946)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ivqc90arWEg/VDqgPzhXpyI/AAAAAAAGplU/Ox7GMVj8muI/s640/unnamed.jpgq.jpg)
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP
Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016. Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha […]
The post Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]
The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...
10 years ago
VijimamboPICHA ZINGINE ZA FIESTA