ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s72-c/unnamed.jpg)
Pichani juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya leo,ambapo ajali hiyo ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation,kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha papo hapo.Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s72-c/unnamed.jpg)
NEWS ALERT:AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO,WATU KADHAA WADAIWA KUPOTEZA MAISHA HEDARU.
![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s1600/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ivqc90arWEg/VDqgPzhXpyI/AAAAAAAGplU/Ox7GMVj8muI/s1600/unnamed.jpgq.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmnrGbs9LVSamZopCcBa28uZkLiXV288EANqhvHpv-rgtIhWaNI31J61dCy6buyMtAtF9IN3LvRx0GixgZM8mA8p/IMG20141107WA0005.jpg)
BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA
9 years ago
Bongo523 Sep
Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycF2Hp6MCCWvTlYDOH3EdjaaljigDP6FEiayE5zidNOfHoXp8Q5X5O7fr0SDNQFnB6-qbsWfTjvR-uLcwIKMNXTU/IMG20141026WA0005.jpg)
AJALI MBAYA YA GARI ARUSHA
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
News Alert: Ajali mbaya ya basi, yaua abiria 12 na kujeruhi vibaya 18 Singida
Pichani ni muonekana upande wa dereva wa basi la Taqbiir lenye namba za usajili T230-BRJ.
Basi la Kampuni ya Taqbiir lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Katoro-Geita, lilipofika kijiji cha Kisonzo, tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida Desemba mosi mwaka huu, majira ya saa moja na nusu liligonga Tenka la Mafuta upande wa kulia wa dereva na kung’oa bati lote na kuua baadhi ya watu papo hapo na wengine walifia njiani wakipelekwa hospitali ya wilaya ya Iramba. (Picha zote na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA SUMRY ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA MKOANI SINGIDA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EsajbnapHXU/VnQHVEi-rhI/AAAAAAAINQA/h7Ni-gkVMI8/s72-c/IMG-20151218-WA0132.jpg)
NEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-EsajbnapHXU/VnQHVEi-rhI/AAAAAAAINQA/h7Ni-gkVMI8/s640/IMG-20151218-WA0132.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...
9 years ago
Bongo531 Aug
P-Square wanusurika na ajali ya gari (Picha)