Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari

Muigizaji wa tamthilia nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Nana Gichuru Jumanne hii alipoteza maisha kwa ajali mbaya ya gari baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lori. Nana enzi za uhai wake Polisi na mashuhuda walidai kuwa muigizaji huyo huenda alikuwa akijaribu kuyapita magari kadhaa mbalimbali wakati akiwa kwenye gari yake aina […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mmoja apoteza maisha kufuatia ajali ya gari huko Lindi

ABIRIA mmoja kati ya 28 amekufa papo hapo na wengine kulazwa Hospitali ya mkoa wa Lindi, Sokine,kufuatia basi la kampuni ya CHALA Express walilokuwa wakisafiria kutoka Jijini Dar es salaam kwenda wilaya ya Newala mkoani Mtwara, kukwaruzana na Lori.
Abiria aliyepoteza maisha katika ajali hiyo anaitwa Amina Omari Makodora (48) mkazi wa kijiji cha Kilindoni,wilaya ya Mafia,mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa abiria wengine walionusulika kwenye ajali hiyo,wameiambia Globu ya Jamii kuwa ajali hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO

Pichani juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya leo,ambapo ajali hiyo ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation,kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha papo hapo.Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO,WATU KADHAA WADAIWA KUPOTEZA MAISHA HEDARU.

 Pichani juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya leo,ambapo ajali hiyo ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation,kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha papo hapo.Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto Tabia Mkulukute apoteza maisha baada ya kugongwa na gari na kuzikwa leo Bunju ‘A’

Mtoto Tabia ambaye aliyegongwa na gari Pichani mwenye gauni la njano, enzi ya uhai wake.


Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge lilivyoharibiwa.

Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari mkasa ulivyo tokea kama alivyoona.

2 (3)

Maeneo ya jirani ya kituo hicho taswira ilivyokuwa ikionekana.

Wananchi wakiwa ng’ambo ya Barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyochomwa moto.

Mwanahabari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO,JIJINI DAR MCHANA HUU

 Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo kasi.  Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Gari la kifahari la McLaren laonyeshwa kwenye jiji la Monaco kwa mara ya kwanza

mclaren-p1-monaco-1-690x456

Gari ya kifahari kabisa kwa mara ya kwanza kuonekana katika jiji la magari ya kifahari duniani Monaco nchini Ufaransa kama inavyoonekana kwenye picha imesajiliwa Italia na gari la kimichezo na ina mchanganyiko wa vitu vingi kama rangi nyeusi na nyekundu na manjano.

Na modewjiblog, kwa Msaada wa Mtandao

Katika jiji la Monaco ndio mahali magari mengi ya kifahari na yenye kasi ya ajabu na muundo wenye kutumia teknolojia ya juu duniani kutumika sana kuliko majiji mengine ulimwenguni kama vile...

 

10 years ago

GPL

AJALI MBAYA YA GARI ARUSHA

Gari aina ya Toyota Noah likiwa limepinduka katika ajali hiyo. Gari aina ya Toyota Hiace iliyogonga kwenye mara baada ya ajali. Ajali imetokea leo mchana ktk maeneo ya Airpot eneo linalojulikana kama  Makutano ya barabara ya AIRPORT ARUSHA. Ni baada ya askari polisi kusimamisha kwa ghafla gari aina ya Toyota…

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.

 Pichani juu ni mmoja wa majeruhi akisaidiwa na msamaria mwema mara baada ya kupata ajali. 
 Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana. Baadhi ya Majeruhi mara baada ya ajali hiyo kutokea. Baadhi ya Abiria wakiwa nje ya basi la Jordan mara baada ya kupinduka...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu

Katika ule utaratibu wa watu kupost picha za zamani kwenye mitandao ya kijamii na hashtag ya ‘Throw Back Thursday (TBT) kila siku za Alhamisi , Nonini alipost picha aliyopiga zamani na Wahu wakiwa kwenye pozi za kimahaba, kitendo kilichotafsiriwa tofauti na mashabiki waliodai amemkosea heshima Nameless. Wanamuziki Wahu Kagwi na David Mathenge a.k.a Nameless wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani