NEWS ALERT: Mmoja apoteza maisha kufuatia ajali ya gari huko Lindi
ABIRIA mmoja kati ya 28 amekufa papo hapo na wengine kulazwa Hospitali ya mkoa wa Lindi, Sokine,kufuatia basi la kampuni ya CHALA Express walilokuwa wakisafiria kutoka Jijini Dar es salaam kwenda wilaya ya Newala mkoani Mtwara, kukwaruzana na Lori.
Abiria aliyepoteza maisha katika ajali hiyo anaitwa Amina Omari Makodora (48) mkazi wa kijiji cha Kilindoni,wilaya ya Mafia,mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa abiria wengine walionusulika kwenye ajali hiyo,wameiambia Globu ya Jamii kuwa ajali hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.
Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana. Baadhi ya Majeruhi mara baada ya ajali hiyo kutokea. Baadhi ya Abiria wakiwa nje ya basi la Jordan mara baada ya kupinduka...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT:AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO,WATU KADHAA WADAIWA KUPOTEZA MAISHA HEDARU.
9 years ago
Bongo523 Sep
Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)
Na Mwandishi Wetu
[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.
Akizungumza na Waandishi wa...
11 years ago
Michuzi23 Jun
NEWS ALERT:AJALI YAUA MTU MMOJA IRINGA
Taarifa za awali zinaonesha kwamba dereva wa gari hilo jina lake bado halijapatikana ...
11 years ago
MichuziNews Alert: Ajali ya gari la mizigo barabara ya Arusha/Moshi leo
Gari lililokuwa limepakia shehena ya Sementi likiwa limepunduka katika barabara ya Arusha Moshi jirani na Bomang'ombe. Hakuna aliyejeruhiwa na chanzo cha ajali bado haijajulikana Vijana wakichukua mafuta katika tenki la mafuta ya gari lililoanguka.
Sehemu ya sementi iliyokuwa imepakiwa katika gari hilo . Askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe wakiwa katika eneo la tukio kuhakikisha kunakuwepo na hali ya usalama. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
10 years ago
MichuziNEWS ALERT:Watu wawili wanaidaiwa kufariki kufuatia ajali ya Basi la Super Feo kuacha njia na kugonga mti
Baadhi ya...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATU KUMI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI JIJINI MBEYA LEO
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ikihusisha gari ndogo ya abiria maarufu daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace na gari kubwa aina ya Fuso lenye namba za usajili T 158 CSV.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbalizi baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kuelekea...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAPATA AJALI MKOANI MOROGORO LEO, NANE WAPOTEZA MAISHA
Hili ni pigo kubwa sana kwa Timu ya Simba, tutaendelea kupeana taarifa kadri zitakavyokuwa zikitufikia.
Globu ya Jamii inatoa pole wa Klabu ya Wekundu wa Msimbazi kuwa kuondokewa na washabiki wake hao, na Mungu aziweke Roho za...