Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fusso laua nyati tisa Mikumi

Nyati tisa wa hifadhi ya taifa ya Mikumi wamegongwa na kufa papo hapo wakati wakivuka barabra ya Morogoro-Iringa na gari aina ya fuso iliyokuwa ikitokea Ifakara kwenda Chalinze.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Fuso laua nyati 8 Mikumi

WANYAMA pori aina ya mbogo ‘ nyati’ wanane wenye thamani ya Sh milioni 32.6, wamekufa papo hapo kutokana na kugongwa na gari la mizigo, wakivuka barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

 

10 years ago

Habarileo

Basi lapinduka, laua 7 hifadhi ya Mikumi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PauloWATU saba ambao wote ni wanaume wamekufa papo hapo na wengine 17 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Ifakara, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kupinduka ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

 

11 years ago

Vijimambo

SIMBA ALIVYOWEKWA MTU KATI NA NYATI

Simba dume amejikuta katik ahali tata baada ya kutolewa mkuku na Nyati katika Hifadhi ya Kruger, nchini Afrika Kusini, walipomfumania akiwa katika mawindo yake. Gazeti la Daily Mail la Uingereza limeripoti.Hakika waswahili husema mbio za sakafuni huishia ukutani na za mwizi ni 40 siku yako ikifika hata uwe mtemi vipi watakukamata tu. Simba akitimua mbio huku akifuatwa kwa kasi na Nyati.Nyati walimfikia na kumchota mtama wa aina yake na kukaa chini.Simba alinza kula za uso kama alivyonaswa na...

 

9 years ago

Michuzi

NYATI WANANE WAMEKUFA KWA KUGONGWA NA FUSO

Wanyama aina ya Nyati wanane wakiwa wamekufa baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso kwenye mbuga ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha foleni ya magari. Tukio hili limetokea alfajiri ya leo tarehe 4 Desemba 2015.

 

11 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano ya Swahilivilla na Mwanamama 'Power Black Nyati 'Jike Jeuri',

Karibuni katika kusikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume aeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuwia pikipiki kwa nyele, ubebaji mfuko wa saruji kwa meno, pamoja na kumbeba mwanamke kwa mkono wake mmoja ama kupasuliwa Jiwe kwenye kifua chake.Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini wakati akifanya...

 

11 years ago

GPL

POWER BLACK NYATI 'JIKE JEURI' NDANI YA USIKU WA MATUMAINI 2014

Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. 'Jike Jeuri' akipiga 'push - up' ndani ya Uwanja wa Taifa.…

 

10 years ago

GPL

LORI LALIPUKA MIKUMI

Ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. J kuwania ubunge Mikumi

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, mwakani anatarajia kugombea Ubunge jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro. Akizungumza na Tanzania Daima, rafiki yake wa karibu na Profesa Jay,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani