SIMBA ALIVYOWEKWA MTU KATI NA NYATI
![](http://4.bp.blogspot.com/-2oHY0iqRMf0/VDQBhbm-FKI/AAAAAAAAX4w/j-1TAjrRoVg/s72-c/z.jpg)
Simba dume amejikuta katik ahali tata baada ya kutolewa mkuku na Nyati katika Hifadhi ya Kruger, nchini Afrika Kusini, walipomfumania akiwa katika mawindo yake. Gazeti la Daily Mail la Uingereza limeripoti.
Hakika waswahili husema mbio za sakafuni huishia ukutani na za mwizi ni 40 siku yako ikifika hata uwe mtemi vipi watakukamata tu. Simba akitimua mbio huku akifuatwa kwa kasi na Nyati.
Nyati walimfikia na kumchota mtama wa aina yake na kukaa chini.
Simba alinza kula za uso kama alivyonaswa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0
10 years ago
Habarileo19 Jul
Lowassa awekwa mtu kati Monduli
WAKATI wakongwe wa siasa wakimhadharisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kutofuata mashabiki wanaomtaka ahame CCM ambako amelelewa na ndiko anakoheshimika, madiwani 20 wa chama hicho katika Jimbo la Monduli, wamejiunga na Chadema.
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Lowassa awekwa mtu kati kampeni
11 years ago
GPL17 Mar
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA BANZA STONE
11 years ago
GPL25 Feb
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA YOUNG KILLER
11 years ago
GPL19 Feb
GLOBAL TV ONLINE ; MTU KATI NA BENNY KINYAIYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA NAY WA MITEGO
11 years ago
GPL31 Mar
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI - PART I
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SALHA ISRAEL - PART II
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10