Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali zarudi, basi laua 10

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga.SIKU sita tangu ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace kuua watu 19 mkoani Mbeya, nchi imeendelea kukumbwa na ajali za barabarani. Safari hii watu kumi wamekatishwa uhai, kutokana na ajali ya basi na lori, iliyotokea mkoani Shinyanga jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Basi laua polisi 5

ASKARI Polisi watano wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso wa uso na basi la Kampuni ya Mohammed Trans. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Corolla lenye namba ya usajili T 770 ABT lililotumiwa na polisi hao na basi aina ya Scania lenye namba za usajili T 997 AVW, mali ya Kampuni ya Mohammed Trans lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Basi lapinduka, laua watano

Watu watano wamefariki dunia papohapo na wengine 50 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupinduka katika Kijiji cha Makomero, wilayani Igunga.

 

9 years ago

Mtanzania

Basi la Takbir laua watu 12

PgNA SEIF TAKAZA,  IRAMBA

WATU 12  wamefariki dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa, baada ya basi la Kampuni ya Takbir kugongana na lori la mafuta katika Kijiji cha Kizonzo, Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida.

Ajali hiyo ilitokea katika barabara kuu ya Dar es Salaam – Mwanza.

Kamanda wa Polisi  Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka, aliwaambia waandishi wa habari jana  kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa 1.30 usiku  wakati basi hilo lilipokuwa  likitoka Dar es Salaam kwenda Geita.

Alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Basi laua watu 4 korongoni

AJALI nyingine imetokea nchini na safari hii imehusisha basi la Air Bus, lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Tabora.

 

11 years ago

Mwananchi

Basi laua wawili, kujeruhi 40

 Ajali ya ndege na nyingine ya basi, zimesababisha vifo vya watu wawili na wengine zaidi 50 kujeruhiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Basi laua watu 10 Mwanza

WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la Nyamhongholo, jijini Mwanza.

 

11 years ago

Habarileo

Basi lingine laua 3, lajeruhi 11

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasAjali nyingine ya basi, imesababisha vifo vya watu watatu, huku wengine 11 wakijeruhiwa mkoani Arusha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Basi la Taqwa laua dereva wake

BASI la Kampuni ya Taqwa lenye namba ya usajili T 532 BYJ lililokuwa likielekea nchini Burundi, limegonga magari mawili na kusababisha kifo cha dereva wake na kujeruhi baadhi ya abiria na...

 

10 years ago

Habarileo

Bomu laua watu 3 kwenye basi

WATU watatu wamekufa na wengine sita kujeruhiwa na bomu la kurusha kwa mkono lililotupwa kwenye gari la abiria na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wilayani Buhigwe, katika Mkoa wa Kigoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani