Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taqwa lagongana na lori, dereva afa

DEREVA wa basi la kampuni ya Taqwa, Adam Ibrahim (50) amekufa papo hapo huku abiria kumi wakijeruhi baada ya gari alilokuwa anaendesha kutoka Dar es Salaam kwenda Bujumbura, Burundi kugongana na lori katika kitongoji cha Ngonho, Kata ya Miguwa wilayani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Dereva lori la mafuta afa ajalini

DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Basi la Taqwa laua dereva wake

BASI la Kampuni ya Taqwa lenye namba ya usajili T 532 BYJ lililokuwa likielekea nchini Burundi, limegonga magari mawili na kusababisha kifo cha dereva wake na kujeruhi baadhi ya abiria na...

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzz......... :Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.

Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva  wa Lori hilo aliyekuwa amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso

Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo bada ya basi walilokuwa wakisafiria liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori la tenki la mafuta maeneo ya Soni mkoani Tanga. Mashuhuda wamesema hii ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi hilo uso kwa uso. Habari zinasema hakuna maafa yaliyoripotiwa hadi sasa ila watu kadhaa wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali. Hii ni ajali ya pili ya basi la abiria kutokea leo, ikufuatiwa na ile ya asubuhi maeneo ya Msimba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva wa bodaboda afa ajalini

DEREVA wa pikipiki, maarufi kama bodaboda, Abdul Mikidadi (33), mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kumgonga mbwa na kupoteza uelekeo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...

 

10 years ago

Mwananchi

Dereva wa lori lililoua 50 Mafinga afungiwa leseni

>Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi, wamezifungia leseni za madereva sita akiwamo Maga Magazini dereva wa lori lililogongana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express na kusababisha vifo vya watu 50 na wengine 22 kujeruhiwa.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

10 years ago

Michuzi

LORI LA MAFUTA LATEMBEA BILA YA DEREVA MJINI MOSHI LEO

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiashangaa lori la mafuta lilotembea bila ya kuwa na dereva likitoka kituo cha mafuta cha Puma lilipokuwa limepaki kwa ajili ya kushusha mafuta.tukio hilo limetokea mchana wa leo mjini Moshi jirani na ofisi za TTCL.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa lori hilo baada ya kukata kona ya ghafla ambayo ilisaidia madhara zaidi yasitokee baada ya tanki kukata na kurudi upande wa barabarani na kisha kusimama.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani