Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 singida, dereva atoweka

Abiria 12 wakiwemo wanaume saba na wanawake watano wamefariki baada ya basi walilopanda la kampuni ya Takibrii kugongana na lori la mafuta katika kijiji cha Kisonzo wilayani Iramba, Singida.Basi hilo lilikuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea mji mdogo wa Katoro ulioko mkoani Geita.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya lori yaua sita

Manyara. Watu sita wamefariki dunia papohapo na wengine zaidi ya ishirini kujeruhiwa vibaya baada ya gari aina ya Leyland  lenye namba za usajili T 568 AEU lililokuwa likitokea mnadani kuacha njia na kupinduka.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya lori na pawatila yaua 7

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher FuimeWATU saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA LORI NA PAWATILA YAUA WATU 7 MANYARA

Watu saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
Kamanda Fuime alisema kwamba...

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI NA DCM ENEO LA EXTERNAL JIJINI DAR YAUA

WATU kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM.  Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali. Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua watatu Singida

WATU watatu akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Ngimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA VWAWA MBOZI LEO MCHANA YAUA DEREVA WA NSSF NA MENEJA WAKE

Ajali Mbaya iliyotokea Mbozi ;eo Ijumaa Noemba 7, 2014 na dereva na meneja wa NSSF kupoteza maisha papo hapo huku dereva wa lori akibanwa na chases kwa saa tano kabla hajaokolewaPicha kwa hisani ya www.mkwinda.blogspot.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani