Ajali ya lori na pawatila yaua 7
WATU saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
AJALI YA LORI NA PAWATILA YAUA WATU 7 MANYARA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
Kamanda Fuime alisema kwamba...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Ajali ya lori yaua sita
Manyara. Watu sita wamefariki dunia papohapo na wengine zaidi ya ishirini kujeruhiwa vibaya baada ya gari aina ya Leyland lenye namba za usajili T 568 AEU lililokuwa likitokea mnadani kuacha njia na kupinduka.
11 years ago
GPL
AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA
Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…
10 years ago
GPL
AJALI YA LORI NA DCM ENEO LA EXTERNAL JIJINI DAR YAUA
WATU kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM. Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali. Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa...
11 years ago
GPL
AJALI LA LORI UBUNGO DARAJANI
Lori lililopata ajali eneo la Ubungo Darajani jijini Dar likifungwa ili liondolewe eneo la tukio. AJALI hii imetokea muda mfupi uliopita eneo la Ubungo, Darajani jirani na River Side katika Barabara ya Mandela jijini Dar baada ya lori hili kukatika ringi za tairi za mbele katikati ya barabara. Katika ajali hiyo, hakuna abiria…
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Abiria 18 wateketea ajali ya basi, lori
Watu 18 wameteketea kwa moto baada ya basi la Kampuni ya Nganga Express na lori aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na kuwaka moto katika eneo la Iyovi, Milima ya Uduzungwa, Morogoro
9 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT;AJALI YA BASI LA LUWINZO NA LORI
Chumba cha habari cha GLOBU ya Jamii kimepata taarifa kuwa Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo (ambalo namba zake za usajili hazijafahimika mapema),lifanyalo safari zake Dar-Njombe inaelezwa kuwa limepata ajali asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar kwa kuligonga Lori (ambalo nalo namba zake za usajili hazikufahamika mapema), kwa taarifa za awali ambazo bado hazithibitishwa na jeshi la Polisi zinaeleza kuwa kuna vifo vya watu kadhaa,ambayo idadi yake haijajulikana mpaka sasa sambamba na...
10 years ago
GPL
LORI LA MAFUTA LAPATA AJALI MBAYA TANGA
lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga ngozo ya umeme huko Handeni ,Tanga. Wananchi wakishuhudia…
11 years ago
GPLTASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA
Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania