Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA LORI NA DCM ENEO LA EXTERNAL JIJINI DAR YAUA

WATU kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM.  Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali. Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LORI LAPIGA MWELEKEKA ENEO LA UKONGA JIJINI DAR LEO

Lori la Migizo lenye namba za usalili T 567 BQW ambalo tela lake limepiga mwenyeka jioni hii eneo la Ukonga jijini Dar es salaam na kusababisha msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo. Chanzo mweleka huo bado hakijafahamika.Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika barabara hiyo baada ya tela la Lori hilo kupiga mweleka.Magari mengine yanayoitumia barabara hiyo yakipita kwa taabu kando kando ya barabara hiyo.Muonekano wa tela hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya lori yaua sita

Manyara. Watu sita wamefariki dunia papohapo na wengine zaidi ya ishirini kujeruhiwa vibaya baada ya gari aina ya Leyland  lenye namba za usajili T 568 AEU lililokuwa likitokea mnadani kuacha njia na kupinduka.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya lori na pawatila yaua 7

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher FuimeWATU saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.

 

11 years ago

GPL

AJALI ENEO LA LUGALO JIJINI DAR

Lori la mchanga likiwa limeangukia gari dogo eneo la Lugalo, Makongo jijini Dar mapema leo. Dereva wa gari dogo aina ya Toyota Cresta 'GX 100' akiwa amenasa katika gari lake baada ya kuangukiwa na lori. AJALI hii imetokea leo asubuhi baada ya magari kusimamishwa ghafla eneo la Lugalo, Makongo ili kuruhusu wanafunzi wavuke ndipo lori liliposhindwa kusimama na kuparamia kingo za barabarani kisha kuiangukia gari… ...

 

11 years ago

GPL

AJALI ENEO LA AFRIKANA JIJINI DAR

Gari aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili T524 ALW likiwa mtaroni baada ya ajali. Lori lililogonga gari ndogo likiwa mtaroni pia huku mvua ikinyesha. Lori…

 

10 years ago

GPL

AJALI ENEO LA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Magari mawili madogo yakiwa yamegongana eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.…

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA LORI NA PAWATILA YAUA WATU 7 MANYARA

Watu saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
Kamanda Fuime alisema kwamba...

 

10 years ago

GPL

AJALI YA GARI YAUA MBEZI JIJINI DAR

Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha. Msamalia mwema akiufunika mwili wa mwanamke huyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani