Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanry aagiza halmashauri kutoa takwimu za maabara

Aggrey MwanriNAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri, ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatoa takwimu ya vyumba vya madarasa walivyobadilisha matumizi yake na kuvifanya vyumba vya maabara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

DC aagiza mratibu wa maabara akamatwe

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara halmasharuri ya mji  anayedaiwa kujaribu kuiba vifaa vya kupimia malaria,  MRDT.

 

10 years ago

Mwananchi

RC Morogoro aagiza shule zote zijengwe vyumba vya maabara

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka watendaji wa kata katika Halmashahuri ya Wilaya ya Kilombero kuhakikisha shule zote za kata zinakuwa na maabara.

 

10 years ago

Habarileo

Aagiza halmashauri kuwezesha hatimiliki

HALMASHAURI zote nchini zimetakiwa kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kutoa Hatimiliki za kimila kwa wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

JK aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Tuguluvala Simbachawene na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli na Mbunge wa Afrika Mashariki Adam Kimbisa.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia jiwe...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda aagiza halmashauri kununua mashine

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameziagiza halmashauri za miji kuhakikisha kuwa zinatenga Sh4.5 milioni kila mwaka kwa ajili ya ununuzi wa mashine 10 kwa ajili ya kufyatulia matofali ya gharama nafuu.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza halmashauri kuwa na miradi ya matofali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini, kuingiza katika mipango yake mradi wa kuwawezesha vijana kufyatua matofali kwa teknolojia ya kisasa, uliobuniwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ikiwa ni suluhu ya ajira na utunzaji wa mazingira.

 

10 years ago

GPL

KIKWETE AAGIZA HALMASHAURI ZINUNUE NYUMBA NHC‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani