RC Morogoro aagiza shule zote zijengwe vyumba vya maabara
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka watendaji wa kata katika Halmashahuri ya Wilaya ya Kilombero kuhakikisha shule zote za kata zinakuwa na maabara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziJK afungua ukumbi wa mihadhara CHUO cha SEKOMU, aagiza wilaya zote nchini zijenge maabara katika kila shule
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Mkalama kukabidhi vyumba 57 vya maabara Oktoba 15
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Mkalama
WILAYA mpya ya Mkalama mkoa wa Singida, Oktoba 15 mwaka hu ,inatarajia kumkabidhi mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, vyumba 57 vya maabara katika shule 19 za sekondari za kata ya wilayani humo zikiwa zimekamilika ujenzi wake kwa asilimia mia moja.
Akizungumza na Mwakilishi wa MOblog, mkuu wa wilaya hiyo, Edwerd Ole Lenga alisema hadi sasa ujenzi wa vyumba 53 vya maabara...
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Agizo la kukabidhi vyumba vya maabara kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida bado kutekelezwa
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya Ikungi wilayani Ikungi mkoa wa Singida,wakishiriki ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, aliagiza akabidhiwe vyumba vitatu vya maabara kwa kila shule ya sekondari 153 za kata za mkoa huo kabla ya oktoba 15 mwaka huu.Mambo yamekuwa tofauti kwa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi ambayo hadi sasa bado ujenzi upo ngazi ya msingi.(Picha na Nathaniel Limu).
10 years ago
Habarileo17 Aug
DC ataka maabara zijengwe kwa viwango
MKUU wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Khanifa Karamagi amewataka wanaohusika na ujenzi wa vyumba vya maabara kujenga kwa kuzingatia viwango na ubora, ikiwa ni pamoja na kuwatumia wataalamu wa ujenzi ili michango ya wananchi itumike ipasavyo.
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Ridhiwani azindua vyumba vya madarasa shule ya Magereza ya Bwawani
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo.
Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua.
Ridhiwani akikagua gwaride la...
5 years ago
MichuziZAIDI YA SHILINGI MILIONI 154 ZATUMIKA KUJENGA VYUMBA VITATU VYA MADARASA,UKARABATI WA SHULE WILAYANI TANDAHIMBA
Akizindua madarasa hayo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Sebastian Waryuba amesema madarasa hayo yamewekwa na madawati tayari kwa wanafunzi kuendelea na masomo
"Tumezindua madarasa haya lakini pia wametukabidhi shule ikiwa katika muonekano unaovutia ambapo kazi hii imefanywa na taasisi ya Eclat na Upendo ,"amesema Waryuba
Naye Mwenyekiti wa taasisi ya Eclat...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Tiper yasaidia vifaa vya maabara Shule ya Msafiri
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kuhifadhi mafuta nchini, Tiper imetoa msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Msafiri, iliyopo wilayani Rufiji, mkoani Pwani ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuboresha kiwango cha elimu nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo iliyofanyika jana wilayani Rufiji, Mkurugenzi Mtendaji wa Tiper, Daniel Belair, alisema msaada huo pia ni sehemu ya mpango endelevu wa kampuni hiyo...
10 years ago
MichuziDCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Serikali ya Tanzania yafunga shule zote nchini kuzuia maambukizi ya virusi vya corona