Mkalama kukabidhi vyumba 57 vya maabara Oktoba 15
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Mkalama
WILAYA mpya ya Mkalama mkoa wa Singida, Oktoba 15 mwaka hu ,inatarajia kumkabidhi mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, vyumba 57 vya maabara katika shule 19 za sekondari za kata ya wilayani humo zikiwa zimekamilika ujenzi wake kwa asilimia mia moja.
Akizungumza na Mwakilishi wa MOblog, mkuu wa wilaya hiyo, Edwerd Ole Lenga alisema hadi sasa ujenzi wa vyumba 53 vya maabara...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Agizo la kukabidhi vyumba vya maabara kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida bado kutekelezwa
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya Ikungi wilayani Ikungi mkoa wa Singida,wakishiriki ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, aliagiza akabidhiwe vyumba vitatu vya maabara kwa kila shule ya sekondari 153 za kata za mkoa huo kabla ya oktoba 15 mwaka huu.Mambo yamekuwa tofauti kwa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi ambayo hadi sasa bado ujenzi upo ngazi ya msingi.(Picha na Nathaniel Limu).
10 years ago
Mwananchi29 Oct
RC Morogoro aagiza shule zote zijengwe vyumba vya maabara
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Vyumba vya upasuaji vya Kuhamahama Uganda
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Moto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi
![Wafanyakazi wa Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/moto-bweni.jpg)
Wafanyakazi wa Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani
FADHILI ATHUMANI NA SAFINA SARWATT, MOSHI
VYUMBA 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto.
Moto huo ambao ulizuka juzi saa 1:45 jioni na kuwaka kwa zaidi ya saa...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Muhimbili yakabiliwa na uhaba vyumba vya `ICU’
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhaba wa wadi za wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na mahitaji ya huduma hiyo kwa wagonjwa hospitalini hapo.
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA GEITA
Sambamba na kusaidia ujenzi na ukarabati wa madarasa Benki ya crdb ilichangia maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika mjini Geita kwa sababu benki hiyo inawajali wateja wake. Maadhimisho ya wiki Huduma kwa...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Ridhiwani azindua vyumba vya madarasa shule ya Magereza ya Bwawani
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo.
Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua.
Ridhiwani akikagua gwaride la...
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
CCM Singida yazoa viti vyote vya Halmashauri ya Ikungi na Mkalama
Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku, akitoa tamko la kukanusha mbele ya waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) taarifa zinazoenezwa kwamba CCM mkoa ilikata jina la mgombea nafasi ya Mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Mkalama, kutokana na ulemavu wake wa miguu. Kulia ni Katibu msaidizi CCM mkoa wa Singida, Adamu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida, kimekanusha vikali uzushi unaoenezwa kwamba kilikata jina la mgombea nafasi...
5 years ago
BBCSwahili15 Jun
Corona: India kutumia mabehewa 500 ya treni kama vyumba vya wagonjwa