Moto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi
Wafanyakazi wa Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani
FADHILI ATHUMANI NA SAFINA SARWATT, MOSHI
VYUMBA 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto.
Moto huo ambao ulizuka juzi saa 1:45 jioni na kuwaka kwa zaidi ya saa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Moto wateketeza bweni la wanafunzi wa kike Dar
11 years ago
MichuziMOTO WATEKETEZA VIBANDA 63 VYA WAJASIRIAMALI ENEO LA JAMATINI DODOMA
======= ========= =======Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Moto mkubwa umetokea katika eneo la Jamatini Manispaa ya Dodoma na kusababisha hasara ambayo thamani yake bado haijafahamika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi DAVID A. MISIME – SACP, amesema kuwa mnamo tarehe 11/07/2014...
10 years ago
GPL30 Nov
MOTO ULIVYOTEKETEZA VYUMBA VITATU JIJINI DAR
10 years ago
GPLVYUMBA VITATU VYATEKETEA KWA MOTO DAR
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Vyumba vya upasuaji vya Kuhamahama Uganda
10 years ago
Habarileo08 Feb
Moto wateketeza familia Dar
WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Moto wateketeza mabanda Njombe
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Moto wateketeza hosteli UDSM
NA MICHAEL SARUNGI, Dar es Salaam
WANAFUNZI wawili wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wameumia baada ya moto kuteketeza hosteli za Mabibo Dar es Salaam, walikokuwa wakiishi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema moto huo uliteketeza ghorofa ya tatu ya jengo A linalotumiwa na wanafunzi wa kike.
“Tunamshukuru Mungu hakuna maafa yaliyotokea ingawa kuna wanafunzi wawili wamepata matatizo na...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Moto wateketeza soko Mchikichini
NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...