Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wateketeza bweni la wanafunzi wa kike Dar

Jengo  la ‘Block B’  la Hostel za Mabibo,  za wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), jijini hapa limeungua kwa moto na kuteketeza vifaa na mali kadhaa  za wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye jengo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Njombe wateketeza bweni

Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss) iliyoko mjini hapa, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu, baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali mbalimbali za shule na walimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza bweni Sekondari ya Erikisongo

WANAFUNZI 100 wa Shule ya Sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli mkoani Arusha, wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya bweni lao kuteketea kwa moto jana asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI, IRINGA


MOTO mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa .Tukio hilo limetokea muda wa saa 4 jana asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakiendelea na masomo.Kamanda wa jeshi la Zimamoto Mkoani Iringa, Inspekta Kennedy Komba alisema kuwa bweni hilo limeteketea lote na kuunguza mali zilizokuwamo kwenye bweni hilo na chache kuokolewa na wananchi waliowahi kufika eneo la tukio kusaidia...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MOTO WATEKETEZA BWENI SHULE YA AFRICAN MUSLIM MJINI MOSHI HIVI SASA

 Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo Laloleni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linateketea kwa moto hivi sasa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza majira ya saa 2 za usiku huku chanzo chake bado hakijajulikana na ripota wetu Dixon Busagaga aliye eneo la tukio anafuatilia ajali hii na atatujulisha kila kitachojiri na kupatikana.Kikosi cha zimamoto kimefanya jitihada za kuzima moto huo licha ya kukabiliwa na changamoto ya...

 

11 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi

Wafanyakazi wa  Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme  juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani

Wafanyakazi wa Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani

FADHILI ATHUMANI NA SAFINA SARWATT, MOSHI

VYUMBA 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto.

Moto huo ambao ulizuka juzi saa 1:45 jioni na kuwaka kwa zaidi ya saa...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wa kike wanusurika kufa kwa moto

ZAIDI ya wanafunzi 96 wa kike wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari African Muslim iliyopo mjini Moshi, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana mjini hapa.

 

10 years ago

GPL

MOTO WAHARIBU BWENI LA WANAWAKE MABIBO, DAR

Wanafunzi wakiwa nje ya jengo lililoungua wakati wakitafakari pakwenda. Sehemu ya paa la jengo hilo iliyoungua. Baadhi ya vitu vilivyookolewa.…

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA BWENI LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR

Wanafunzi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali kutoka katika bweni la Block B kwenye hosteli ya Mabibo, Dar. Moto ukizidi kuunguza bweni hilo. Moto mkali ukifuka kutoka katika bweni la Block B linaloendelea kuungua hivi sasa.…

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani