Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK afungua ukumbi wa mihadhara CHUO cha SEKOMU, aagiza wilaya zote nchini zijenge maabara katika kila shule

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Mkuu wa Chuo cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU  Askofu Dr.Stephen Munga(kushoto)Makamu Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Dr.Anneth Munga(watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa(kulia) wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa wilayani Lushoto Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu chA Sebastian Kolowa Memorial University mabapo alifungua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

RC Morogoro aagiza shule zote zijengwe vyumba vya maabara

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka watendaji wa kata katika Halmashahuri ya Wilaya ya Kilombero kuhakikisha shule zote za kata zinakuwa na maabara.

 

5 years ago

CCM Blog

RC HAPI: SHULE ZOTE MKOA WA IRINGA ZIJENGE CHUMBA CHA HUDUMA YA KWANZA


Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa katika shule ya sekondari ya Ifunda Girls mkoa wa Iringa wakati wa ziara ya Iringa mpya awamu ya pili alipokuwa akikagua miradi ya elimu na kutoa tamkoa la kila shule kuwa na chumba cha huduma ya kwanzaMkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi, mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela  na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Robert Masunya walipokuwa wanawasili katika shule ya sekondari ya Isimila kwa ajili ya kukagua miradi ya elimu na kutoa tamkoa la...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KATIKA UKUMBI WA MT. GASPER MKOANI DODOMA

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akifungua rasmi kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar uliopo mjini Dodoma, katika hotuba yake ya ufunguzi Mhe. Jaji Mkuu amewaasa Watumishi wa Mahakama kutimiza wajibu wao wa utoaji haki nchini kwa uadilifu. Kundi la baadhi ya Wahe. Majaji na wajumbe wengine wa Baraza la Wafanyakazi wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi linalofanyika katika Hoteli ya St....

 

11 years ago

Habarileo

Rais aagiza ripoti za mahudhurio ya shule kila mwezi

RAIS Jakaya Kikwete ameagiza wakuu wa shule zote nchini kila mwezi watoe taarifa za mahudhurio ya wanafunzi kwa maofisa Elimu.

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa  Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya MaadiliBaadhi ya wageni waalikwa katika Mdahalo wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akifungua mdahalo huo leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Roundtable Bw.Ali Mufuruki...

 

10 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MSAADA KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE-WILAYA YA ULANGA MASHARIKI.

 Meneja wa Kanda ya Mashariki ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yesaya Mwakifulefule  akikabidhi  msaada wa vifaa vya ujenzi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mashahriki Bi. Christina Mndeme kwa ajili ya ukarabati wa maabara za shule katika wilaya hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mashahriki Bi. Christina Mndeme akizungumza jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya   Meneja wa Kanda ya Mashariki ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yesaya Mwakifulefule  kukabidhi  msaada wa vifaa vya...

 

10 years ago

Vijimambo

CHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa mifuko 900 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari wilayani humo. Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea leo Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Michinge Mchopa akionesha sehemu ya msaada wa mifuko ya sarufi 900 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikiwete azindua Sera ya Elimu,Afungua maabara Shule ya Sekondari ya kata,Kipawa jijini Dar

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la Sayansi lililokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani