RC HAPI: SHULE ZOTE MKOA WA IRINGA ZIJENGE CHUMBA CHA HUDUMA YA KWANZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_4dWCCM52Qw/Xl57TDWEr2I/AAAAAAAAHpc/-BjMtqax89UHoPovGprMLFur7JjaneV5QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200303_133911_1.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa katika shule ya sekondari ya Ifunda Girls mkoa wa Iringa wakati wa ziara ya Iringa mpya awamu ya pili alipokuwa akikagua miradi ya elimu na kutoa tamkoa la kila shule kuwa na chumba cha huduma ya kwanza
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi, mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Robert Masunya walipokuwa wanawasili katika shule ya sekondari ya Isimila kwa ajili ya kukagua miradi ya elimu na kutoa tamkoa la...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p1am9lEC2hQ/U74_ydaPZqI/AAAAAAAF0Yg/k9E9o0_2wOc/s72-c/unnamed+(70).jpg)
JK afungua ukumbi wa mihadhara CHUO cha SEKOMU, aagiza wilaya zote nchini zijenge maabara katika kila shule
![](http://4.bp.blogspot.com/-p1am9lEC2hQ/U74_ydaPZqI/AAAAAAAF0Yg/k9E9o0_2wOc/s1600/unnamed+(70).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JnvaSd_RIVY/U74_ybQ9weI/AAAAAAAF0Yo/mvDNvWmORHA/s1600/unnamed+(71).jpg)
11 years ago
Michuzi09 Feb
NEWS ALERT: CCM WASHINDA KATA ZOTE TATU MKOA WA IRINGA, CHADEMA YASHINDA NJOMBE MJINI
10 years ago
VijimamboManispaa ya Temeke imeteketeza kinyesi kilichokutwa katika chumba cha mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila
Ama kweli ukistaajabu ya musa hakika utayaona ya firauni...na kuishi kwingi ni kuona mengi..hali kadhalika wahenga wanasema Tembea uyaone...Misemo hiyo mitatu inaweza kujidhihirisha kwa namna tofauti tofauti kupitia tukio la mkazi wa Jiji la Dar es salaam ambaye...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
5 years ago
CCM BlogRC HAPI:ATOA SIKU TATU UONGOZI WA SOKO MAFINGA KUBORESHA HUDUMA YA CHOO
NA FREDY MGUNDA,MAFINGA. WAFANYABIASHA wa soko kuu la Mafinga mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa huduma bora ya choo kwa kuwa inahatarisha afya za...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Wanafunzi 15,312 mkoani Iringa kujiunga na kidato cha kwa kwanza 2016
(Picha na Maktaba).
IRINGA: Ufaulu wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2015 mkoani Iringa umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, ambapo ufaulu kwa mwaka huu ni asilimia 73.25, wakati mwaka jana ulikuwa ni asilimia 68.58, sawa na ongezeko la asimilia 4.67.
Hayo yalisemwa na Afisa Elimu Taaluma wa Mkoa wa Iringa, Euzebio Mtavangu hivi karibuni wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2015 kwa wajumbe wa kamati...
10 years ago
Habarileo23 Jan
RC acharuka kidato cha kwanza kutokwenda shule
MKUU wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya ameagiza kuwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mkoani humo kufanya hivyo mara moja huku akisema suala hilo ni la lazima na si hiyari tena.
11 years ago
Michuzi05 Feb
NAFASI ZA KAZI NA SHULE CHUO CHA RUNGEMBA MISSION, IRINGA
KWA MAWASILIANO ZAIDI : MKUU WA CHUO:0763833021 MENEJA WA CHUO: 0763818244 KARANI:0677987906
NAFAZI ZA KAZI YA UALIMU CHUO CHA RUNGEMBA MISSION IRINGA CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE YA MSINGI NA WALIMU WA SECONDARI WALIO NA UZOEFU...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UrMbF5I5D0g/VWhO7NASK5I/AAAAAAAB9Xc/fgKfj9y8qVk/s72-c/DSC_0231.jpg)
WANAHABARI MKOA WA IRINGA NA POLISI WAKUTANA KATIKA KIKAO CHA MAHUSIANO MEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UrMbF5I5D0g/VWhO7NASK5I/AAAAAAAB9Xc/fgKfj9y8qVk/s640/DSC_0231.jpg)