CHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa mifuko 900 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari wilayani humo. Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea leo Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Michinge Mchopa akionesha sehemu ya msaada wa mifuko ya sarufi 900 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AMKABIDHI MKUU WA WILAYA NACHINGWEA MABATI 2000 KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
5 years ago
MichuziDC CHONJO AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SHULE YA MSINGI MJI MKUU
Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amekabidhi mifuko 50 ya Saruji (Cement) kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji Mkuu kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa katika shule hiyo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo la kukabidhi mifuko hiyo ya Saruji 50 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarsa, limefanyika leo Februari 25,2020 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mkuu.
Dc Chonjo, amekabidhi mifuko hiyo kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AKABIDHI PIKIPIKI 35 KWA MAKATIBU KATA WA CCM WILAYA YA NACHINGWEA LEO
10 years ago
VijimamboWAZIRI CHIKAWE AKABIDHI PIKIPIKI 35 KWA MAKATIBU KATA WA CCM WILAYA YA NACHINGWEA LEO
10 years ago
MichuziPPF YASAIDIA SHULE YA SEKONDARI IDODI-IRINGA MIFUKO 220 YA SARUJI
5 years ago
MichuziDC NDEJEMBI AONGOZA ZOEZI LA UJENZI WA MSINGI SHULE YA SEKONDARI, ACHANGIA MIFUKO 10 YA SARUJI
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Deo Ndejembi hii leo ameongoza zoezi la uchimbaji msingi ujenzi wa Shule ya Sekondari katika Kata ya Chamkoroma wilayani humo ambayo ikikamilika itakua ikihudumia wanafunzi kutoka vijiji saba vya kata hiyo.
DC Ndejembi pia ameahidi kuchangia mifuko 10 ya Saruji ili kuwezesha kukamilika mapema kwa Shule hiyo ambayo itaenda kumaliza changamoto ya watoto wanaotembea umbali mrefu kwenda Shule ilipo.
Akizungumza na wananchi wa kata...
5 years ago
MichuziShirika la nyumba la Taifa mkoani Arusha lakabithi mifuko 100 ya saruji shule ya sekondari Felix Mrema
Kushoto Ni meneja wa shirika la nyumba la Taifa mkoani Arusha, Ladislaus Bamanyisa akimkabithi mifuko Mia moja ya saruji Jana mkuu wa shule ya sekondari Felix Mrema ,Reginaldo Msendekwa aliyepo kulia katikati ni Mwenyekiti wa mtaa wa Jamhuri , Hussein Dudu ,ambapo mifuko hiyo ya saruji itasaidia ukarabati wa sakafu iliyochakaa
Mkuu wa shule ya sekondari Felix Mrema Reginaldo Msendekwa akimuonyesha Meneja wa shirika la nyumba , Ladislaus Bamanyisa aliyeko kushoto moja ya vioo vilivyowekwa...
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Tigo kusaidia mpango wa kujenga na kutoa vifaa kwa maabara ya shule za sekondari wilayani Mtwara
Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Bw.Daniel Mainoya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee inayojulikana kama Tigo Mtwara Benefit Gala kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika wilaya ya Mtwara, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya hiyo,Bw. Wilman Ndile na kulia ni Meneja maendeleo ya bishara kampuni ya 361 Degrees,Hamis Omary.
Tigo Tanzania leo imetangaza kwamba itasaidia kujenga na kuchangia vifaa katika maabara ya shule za sekondari ambazo zimekwisha jengwa wilayani Mtwara....
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
ALAF yatoa msaada wa mabati kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari wilaya ya Mbeya
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege...