Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC ataka maabara zijengwe kwa viwango

MKUU wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Khanifa Karamagi amewataka wanaohusika na ujenzi wa vyumba vya maabara kujenga kwa kuzingatia viwango na ubora, ikiwa ni pamoja na kuwatumia wataalamu wa ujenzi ili michango ya wananchi itumike ipasavyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RC Morogoro aagiza shule zote zijengwe vyumba vya maabara

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka watendaji wa kata katika Halmashahuri ya Wilaya ya Kilombero kuhakikisha shule zote za kata zinakuwa na maabara.

 

11 years ago

Mwananchi

Tenga ataka viwango bora vya kodi

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), Leodegar Tenga ameitaka Serikali kupanga viwango vya kodi kwenye bidhaa vitakavyoweka mazingira bora ya kuendesha viwanda nchini.

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA

Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne kutoka Bara na wane Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akimkabidhi ripoti ya Kamati ya pamoja ya mashirikiano Mhe. Naibu Waziri...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Reli, barabara zijengwe

 Serikali imesema nguvu kubwa inahitajika kutoka kwa wadau wa maendeleo ili kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya kuunganisha Bandari ya Dar es Salaam na nchi jirani zisizokuwa na bandari.

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA

Na John Gagarini, Bagamoyo
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

9 years ago

Bongo5

Professor J adai atafanya muziki kwa viwango vikubwa zaidi

Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasa

Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor J, amesema baada ya kushinda kiti cha ubunge atafanya muziki wake kwa ufanisi kushinda kipindi cha nyuma.

Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasa</

Jay amesema umefika wakati wa yeye kufanya collabo na wasanii wakubwa. “Naendelea kufanya sanaa yangu na huenda nikaifanya kwa ufanisi mkubwa zaidi,” Jay aliiambia East Africa Radio wiki iliyopita.

“Unaweza ukasikia watanzania wanafanya kazi na akina Eminem na Jay Z, kwahiyo nategemea kufanya kwa next level kwa sababu naamini...

 

9 years ago

Habarileo

JK apongezwa kwa maabara

KIONGOZI wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu, Juma Khatib Chum amesema dhamira ya serikali ya awamu ya nne kuanzisha ujenzi wa vyumba vya maabara za sayansi katika shule za sekondari za kata umelenga kuifanya Tanzania kuwa ya kisayansi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani