Tenga ataka viwango bora vya kodi
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), Leodegar Tenga ameitaka Serikali kupanga viwango vya kodi kwenye bidhaa vitakavyoweka mazingira bora ya kuendesha viwanda nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Nov
Wakwepa kodi walalamikia uwingi na viwango
BAADHI ya wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi, wamedai moja ya sababu inayofanya wao kushindwa kutimiza wajibu wao, ni uwepo wa viwango vya juu vya malipo ambavyo pia ni vingi.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s72-c/unnamed.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s1600/unnamed.jpg)
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
10 years ago
Habarileo17 Aug
DC ataka maabara zijengwe kwa viwango
MKUU wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Khanifa Karamagi amewataka wanaohusika na ujenzi wa vyumba vya maabara kujenga kwa kuzingatia viwango na ubora, ikiwa ni pamoja na kuwatumia wataalamu wa ujenzi ili michango ya wananchi itumike ipasavyo.
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Viwango vya juu vya joto vitakumba Dunia
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
DC Msambya ataka wataalamu wa kodi mgodini
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Manju Msambya, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo kupeleka wataalamu wa kodi na kuweka viwango vya ushuru katika mgodi wa machimbo ya dhahabu ya...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Bilal ataka wasiolipa kodi wadhibitiwe
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameagiza wataalamu wa masuala ya kodi kujizatiti katika kupambana na watu wachache wasiolipa kodi.
5 years ago
BBCSwahili02 May
Virusi vya corona: Je ni kwanini inakua vigumu kulinganisha viwango vya corona kimataifa?
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2PaqZtVXdsY/VIFvZ2-OWzI/AAAAAAAG1Xw/bvtFXYznzKg/s72-c/unnamed.png)